Leo tuelezee utamu wa mapenzi

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
Ni kitu gani kitamu kushinda vyote, je asali, muwa, fenesi, apple ama mapenzi?

Huu utamu wa mapenzi ukoje hasa, unaelezekaje? ni sawa kuulinganisha utamu huu na asali, sukari ama pipi? kama wapendavyo wapenzi kuitana honey, sugar ama sweety?

Ama utamu huu ni zaidi ya hapo?

Is love making on bed the most excitement to human kind ever experienced elsewhere?
 
ni kitu gani kitamu kushinda vyote, je asali , muwa, fanesi, apple ama mapenzi?

huu utamu wa mapenzi ukoje hasa, unaelezekaje? ni sawa kuulinganisha utamu huu na asali,sukari ama pipi? kama wapendavyo wapenzi kuitana honey, sugar ama sweety?

ama utamu huu ni zaidi ya hapo?

is love making on bed the most excitement to human kind ever experienced elsewhere?

Tupe experience yako kwanza.
 
Mapenzi ni kitu emotional sana, ndo maana ukipata mtu anaeweza kuhandle emotions zako vizuri unayaona mapenzi matamu kuliko muwa. Hizi asali, sukari, muwa ni material things which has substitues, wewe utaona asali tamu wengine tunaona sio.
 
hivyo huwa ni vimaneno tu vya kukoleza koleza mapenz lakin havina hualisia wakati mwingne. Havina tofauti sana na vile vya nikinywa maji nakuona kwenye glass nk.
 
Mapenzi ni kitu emotional sana, ndo maana ukipata mtu anaeweza kuhandle emotions zako vizuri unayaona mapenzi matamu kuliko muwa. Hizi asali, sukari, muwa ni material things which has substitues, wewe utaona asali tamu wengine tunaona sio.

Mkuu Bulldog uko njemah

Heshma yako bos
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kinachozidi Chakula unachokipenda kwa utamu,hivi unaweza fananisha pilau,nyama,kachumbali pembeni halafu unashushia na pepsi baridi?
kumbe pilau ni tamu kuliko mapenzi? mambo ya ubwabwa haya
 
Ni kama pipi tu. Mimi huwa nanunua pipi aina zote. Pipi machungwa, pipi kali, toffee n.k naweka chumbani. Nikirudi nyumbani usiku nakula pipi kwa kwenda mbele. Ni tamu sana. Nimeamua kuachana na mapenzi kwa sababu pipi ni tamu zaidi
 
Hakuna kinachozidi Chakula unachokipenda kwa utamu,hivi unaweza fananisha pilau,nyama,kachumbali pembeni halafu unashushia na pepsi baridi?
kumbe pilau ni tamu kuliko mapenzi? mambo ya ubwabwa haya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom