Stamina
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 1,040
- 590
Habari zenu wana mmu.
Kuna jambo limekuwa linaniumiza kichwa sana, kuna rafiki yangu mmoja Tulikuwa naye chuo ruco miaka hiyo.
Sasa hivi ameoa na anawatoto wawili, rafiki yangu huyu amekuwa kwenye conflict kubwa na mkewe kuhusu suala la mali.
Wote wawili ni wafanyakazi, Yaani kwakifupi wote ni waajiriwa serikalini, japo mume kamzidi mke kwa mshahara.
Wameishi vizuri kwa takribani miaka minne, sasa tatizo limeanza hivi karibuni baada ya mume kugundua mkewe anamiliki baadhi ya mali kwa siri, kama kiwanja, salon bila kumshirikisha mume.tena hayo zote ameandika jina lake binafsi (mke) bila kuwepo hata chembe ya jina la mume wala watoto.
Sasa mume akihoji inakuaje unanificha mali unazomiliki wakati sisi ni mume na mke? Mwanamke anakuwa mbogo, anasema hizo ni mali zake binafsi hazimuhusu jamaa, eti hata yeye akitaka anaweza kuwa na mali zake binafsi.
Jamaa amechanganyikiwa , hamuelewi mkewe hasa ana lengo gani kumficha mali zake?
Sasa Hebu wana mmu wenzangu tujadili hili suala, ni halali kwa wanandoa kuwa na mali binafsi?
Tena bila kumshirikisha mwenzi wako?