Heshima kwenu wakuu
Nasema hivi ukinpm uwe na ishu ya maana na ya kueleweka maswala ya kuombana namba sihitaji alafu kwa sasa ni kipindi ambach nahitaji utulivu msipende kuongea na watu...
Habari zenu wakuu,
Nimewahi kuweka uzi wa kutafuta marafiki wa kawaida humu na nikaweka kigezo cha umri, kwamba kwa kuwa nina miaka 35 yule mwenye kuanzia 40-70 yrs atanifaa na ndo maono yangu!
Wapendwa napenda kuweka wazi kuwa Mimi si mwenyeji sana Wa Yale mambo ya wakubwa.
Siku chache zilizopita nilipata bahati ya mtende, mtoto mkali akaja pale Getto na mchezo ukawa Wa 6*6.
Tatizo...
Heshima kwenu..
Napenda niseme jambo moja kuhusiana na hawa wanaume wenye umri kuanzia 35-40. Wallah ukikuta mwanaume wa hivi halafu hana mke, hana mchumba wala hayupo kwenye mahusiano waogope...
Mara nyingi watu wamekuwa wakiogopa kula maembe mabichi kwa kuogopa sheria za nchi(especially wale wanaolipa 200 kwenye mwendokasi)
Ila jaman haya maembe mabichi ni matam hasa ukiyala na...
Mimi ni kijana wa 26ys, naishi Dar. Nimejitokeza hapa kutafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli umri wowote kabila lolote, kinachotakiwa awe na mapenzi ya dhati, kwa aliye serious anakalibiswa PM...
Habari wana JamiiForums,
Katika maisha yangu sikuwahi kufikiria kama ipo siku nitaamua kuachana na suala zima la mapenzi ila kwa yaliyonitokea sina budi kusema SITAKI TENA MAPENZI. Nilikuwa na...
Ukikutwa na matatizo ya ndoa utadhani yapo kwako tu.
Na wengine hukimbilia kuoa na kumpiga chini wa kwanza,
Hivyo siyo kutatua tatizo, ni kuliongeza, kwani kila utakaemuoa anaitwa kiumbe dhaifu!
Leo naomba niwape kiufupi stori ya kweli iliyonikuta kwa takribani miaka minne hivi.
Nilipokuwa kidato cha sita mwaka 2012 nilitokea kukutana na binti mmoja anaitwa Sophia. (Si jina lake ila...
Wadada kuweni wa kisasa basi, siyo mnatongozwa mnaanza ubabaishaji kama zamani, mbona sie mkitutongoza hatuwazungushi na istoshe ni wepesi kukubali tofauti na nyie
Badilikeni bana msiwe ivo...
Huyu atatimiza hizo ndoto zake kweli ? Kuja kuwa muigizaji bora?
Au ataanza kuvunja ndoa za watu mapema sana?
Ajitokeze mtu humu awe Manager wake la sivyo wajanja watamuharibia future...
Nawaza...
Habari za wakati huu wadau,
Kuna jambo naona kama linaniandama sasa hivi na sijui kama ni kawaida. Ni hiki cha kitendo cha mwanamke ambaye ana uhusiano na mtu mwingine anaponiomba hela ya...
wakuu
mimi nilikuwa sijawahi kupiga punyeto..na wala sikuwa nataka kujaribu maana nilikuwa naona watu wakitafuta kila njia kuacha...
lakini wiki iliyopita niliona uzi unaohusu punyeto humu jf...
Habarini wakuu.
Babu kabla hajafa aliniachia kijana wake Wosia kuhusu namna ya kuishi kwa furaha na amani Duniani haijalishi kama ntakuwa na pesa au sitakuwa nazo. Wosia huu umenifanya nienjoi...
Wasichana ni kama Ma-Apple yaliyo juu ya mti,yale Ma-Apple mazuri huwa yanakaa juu sana karibu na kilele kabisa,yale mabaya yananing'inia karibu karibu...Wanaume wanaona kupanda hadi juu kule sio...
Hellow,
Naitwa Patrick wa Dar natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo;
Mvumilivu, mpole, mtiifu, mcha mungu, sina ubaguzi wa kabila wala dini, elimu, hata akiwa na mtoto sio mbaya, umri...
Heshima zenu wakuu.
Wakuu mwenzenu nipo ktk kilele cha hisia za kupenda na kwa hakika huyu mwanamke ndiye nimemridhia moyoni.Sishindwi kusema hadharani kwamba ye ndo mwanamke nimpendae na...