Nimeacha mapenzi

Nimeacha mapenzi

Jiran mwema

Senior Member
Joined
Nov 7, 2015
Posts
164
Reaction score
104
Habari wana JamiiForums,

Katika maisha yangu sikuwahi kufikiria kama ipo siku nitaamua kuachana na suala zima la mapenzi ila kwa yaliyonitokea sina budi kusema SITAKI TENA MAPENZI. Nilikuwa na mpenzi tuliependana sana lakini kaumiza moyo wangu, ameuacha moyo wangu ukivuja damu.

Eti wanajamii ni halali kuendelea kung'ang'ania mapenzi wakati unayempenda anamilupo kibao?

INAUMIZA SANA MOYO!
 
Daa mapenz mapenz mapenzi yaliuumiza moyo wangu,na miez takriban 7 sijihushi na mapenzi na wala sitaki kuyasikia.Nasubili mpaka pale moyo wangu utakapokuwa tayati tena Ila kwa sasa hapana aisee.
 
Huwezi kuacha kupenda. Hiyo ni safar ya kumpata umpendae. So ni hiv.. wewe komaa na maisha yako kwa sasa... kuwa mtu wa maombi. Muombe Mungu akufanikishe akupe mke alie kupangia.
 
Mapenzi hayaepukiki.
Ni upepo tu utapita na baadae utarudi pale pale machungu yakiisha
 
Habar wanajamii forum
Katka maisha yangu sikuwahi kufikiria kama ipo cku ntaamua kuachana na suala zma la mapenzi ila kwa yaliyonitokea Sina budi kusema SITAKI TENA MAPENZ
Nilkua na Mpenzi tuliependana xna lakn kauumiza moyo wangu, ameucha moyo wangu ukivuja damu. Eti wanajamii ni Halali kuendelea kung'ang'ania mapenz wakati unampenda anamirupo kibao?? INAUMIZA SANA MOYO!!!!
Moyo unavujaje damu .??! upo na nguvu za kutext .?? Acha kuingizia
 
Aisee, mapenzi ni jambo la ajabu mno!
Twende kazi mi pia nipo katika mchakato huo huo.
 
Habar wanajamii forum
Katka maisha yangu sikuwahi kufikiria kama ipo cku ntaamua kuachana na suala zma la mapenzi ila kwa yaliyonitokea Sina budi kusema SITAKI TENA MAPENZ
Nilkua na Mpenzi tuliependana xna lakn kauumiza moyo wangu, ameucha moyo wangu ukivuja damu. Eti wanajamii ni Halali kuendelea kung'ang'ania mapenz wakati unampenda anamirupo kibao?? INAUMIZA SANA MOYO!!!!
Unataka tukubembeleze uyarudie?
 
Usiuseme moyo jirani bado IPO siku utarudi
 
Back
Top Bottom