Onyo kali

Onyo kali

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Heshima kwenu wakuu

Nasema hivi ukinpm uwe na ishu ya maana na ya kueleweka maswala ya kuombana namba sihitaji alafu kwa sasa ni kipindi ambach nahitaji utulivu msipende kuongea na watu msiowafahamu

Iiii..wenye mapovu mnakaribishwaaaa

Au niwataje majina yenu ndo tuheshimiane
 
Watumbuwe tu wamezowea hao. Lakini tazama sheria za JF kwanza zinaruhusu?

Mie huwa nnawachunia tu sijibu kabisa PM ya mtu.
 
Heshima kwenu wakuu

Nasema hivi ukinpm uwe na ishu ya maana na ya kueleweka maswala ya kuombana namba sihitaji alafu kwa sasa ni kipindi ambach nahitaji utulivu msipende kuongea na watu msiowafahamu

Iiii..wenye mapovu mnakaribishwaaaa

Au niwataje majina yenu ndo tuheshimiane

Ndioumeamua kuja kunisemea humu?
 
Unawaogopa nimegundua,wamekukera we unawatishia kuwataja majina?wataje au funga domo lako.umeombwa namba toa au kataa basi ya nn kutoa onyo kubwaaaa!
 
Heshima kwenu wakuu

Nasema hivi ukinpm uwe na ishu ya maana na ya kueleweka maswala ya kuombana namba sihitaji alafu kwa sasa ni kipindi ambach nahitaji utulivu msipende kuongea na watu msiowafahamu

Iiii..wenye mapovu mnakaribishwaaaa

Au niwataje majina yenu ndo tuheshimiane
Dah

Kwa hiyo umeamua kutuumbua hivi hivi mchana kweupeeeee....
 
Heshima kwenu wakuu

Nasema hivi ukinpm uwe na ishu ya maana na ya kueleweka maswala ya kuombana namba sihitaji alafu kwa sasa ni kipindi ambach nahitaji utulivu msipende kuongea na watu msiowafahamu

Iiii..wenye mapovu mnakaribishwaaaa

Au niwataje majina yenu ndo tuheshimiane
Tutaje kwqni shingapi bhna..tunatishana daily tutaje
 
Back
Top Bottom