Ushawahi kula embe na chumvi?

Ushawahi kula embe na chumvi?

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,053
Reaction score
1,419
Mara nyingi watu wamekuwa wakiogopa kula maembe mabichi kwa kuogopa sheria za nchi(especially wale wanaolipa 200 kwenye mwendokasi)

Ila jaman haya maembe mabichi ni matam hasa ukiyala na chumvi[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] maana huwa kwanza kuna raha kupata kale kausumbufu ka kuyachuma na kuyatoboa

Nipe uzoef kama ulishawah kula maana mwenzenu niling'atwa kichwa ila nikafanikiwa
 
upload_2016-11-5_14-4-3.jpeg
 
Nawe utaliwa kwa Tigo we komaa kuleta mafumbo ya kijinga hapa
 
Back
Top Bottom