GYNEOCOLOGIST
Senior Member
- Sep 13, 2016
- 171
- 112
Nadhani imeshawahi kukutokea once aidha ukiwa safarini au katika mkusanyiko fulani wa hafla ambao umehusisha jinsia zote ukakutana na mtu wa jinsia tofauti na yako ukajikuta upo interested naye na yeye pia akawa interested nawe.
Basically kuna kitu kinaitwa body language, ni kwa namna gani utatafsiri body language fulani inaashiria kuwa your opposite sex amekuwa attracted nawe?
Basically kuna kitu kinaitwa body language, ni kwa namna gani utatafsiri body language fulani inaashiria kuwa your opposite sex amekuwa attracted nawe?