Housemaid ananiweka majaribuni

Housemaid ananiweka majaribuni

Dindilimunyo

Senior Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
108
Reaction score
206
Wakuuu salama!

Wife kasafiri kidogo kaend kwao sasa kwa bahati mbaya nimebakia mm na mdogo wangu wa Kike na mfanyakazi! Sasa huyu mfanyakazi amekuwa mkarim sana kwangu hatari. Kana maneno mazuri mno. Bahati mbaya nipo likizo kwhiyo muda mwingi nipo home! Sasa muda mwingi naangalia TV isiku nako kanakuja kanaangalia kanacjelewa kulala.

Kana umri mkubwa kiasi kana miaka 23 hivi! Ukikaangalia kanavutia sana. Najitahid kuchelewa kurud lakini hakalali mpaka ni rudi! Ni wiki ya pili sasa! Naona majaribu hatari kuna muda nawaza kukapanua kwasababu kana mitego hatari mara kaje na kanga tupu basi shidaaa! Nifanyeje wazee
 
Na wewe mkarimu af akija mkeo mwambie umekua mkarimu kwa housemaid
 
Wakuuu salm! Wife kasafiri kidogo kaend kwao sasa kwa bahati mbaya nimebakia mm na mdogo wangu wa Kike na mfanya kazi! Sasa huyu mfanyakazi amekuwa mkarim sana kwangu hatari. Kana maneno mazuri mno. Bahat mbaya nipo likizo kwhiyo muda mwingi nipo home! Sasa muda mwingi naangalia TV isiku nako kanakuja kanaangalia kanacjelewa kulala. Kana umri mkubwa kiasi kana miaka 23 hivi! Ukikaangalia kanavutia sana. Najitahid kuchelewa kurud lakini hakalali mpaka ni rudi! Ni wiki ya pili sasa! Naona majaribu hatari kuna muda nawaza kukapanua kwasababu kana mitego hatari mara kaje na kanga tupu basi shidaaa! Nifanyeje wazee
Fanya ambacho wazee wanafanya
 
Mkuu majaribu hayo ila ukiweza unganisha ktk data yenye kasi ya 4G halafu weka bando la bila kikomo mpaka wife wako arudi itakua imekaa poa ila kwa mimba hao viumbe ni fasta hivyo kua makini...
 
Usikaribishe mawazo ya tamaa kwa kuanza kusema anakutega.......acha kuangalia tv na hg
 
Wakuuu salm! Wife kasafiri kidogo kaend kwao sasa kwa bahati mbaya nimebakia mm na mdogo wangu wa Kike na mfanya kazi! Sasa huyu mfanyakazi amekuwa mkarim sana kwangu hatari. Kana maneno mazuri mno. Bahat mbaya nipo likizo kwhiyo muda mwingi nipo home! Sasa muda mwingi naangalia TV isiku nako kanakuja kanaangalia kanacjelewa kulala. Kana umri mkubwa kiasi kana miaka 23 hivi! Ukikaangalia kanavutia sana. Najitahid kuchelewa kurud lakini hakalali mpaka ni rudi! Ni wiki ya pili sasa! Naona majaribu hatari kuna muda nawaza kukapanua kwasababu kana mitego hatari mara kaje na kanga tupu basi shidaaa! Nifanyeje wazee
Tatzo huwa tunakosea sana wengi, housemaid anakiwa kupewa muda japo weekend moja tu ashinde anakojua, ila by saa 1 jion ahakikishe amerejea home.

Sasa wengi wetu tunakaba mpaka penalty, unategemea nini kama sio kuitegemea hiyo hiyo keki ashee na mama mwenye nyumba.
Me ndo maana nawaambiaga wadogo zangu, kakijilegeza kapakueni ili nilinde heshima ya mke wangu, maana inaweza jikuta kweli unakaburuza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom