Wanawake: Tunajitahidi kuwaridhisha ila 'mnatumwaga'

Wanawake: Tunajitahidi kuwaridhisha ila 'mnatumwaga'

George Barran

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2015
Posts
654
Reaction score
1,302
Habari wandugu, poleni na majukumu ya kujenga taifa,

Leo nipo upande wenu dada zetu, wake zetu;

Hivi kwanini unakuta mwanaume unajitaidi angalau kumridhisha mpenzi wako kimapenzi na hata shida za hapa na pale, mwisho wa siku anakumwaga eti kisa kakutana na mjanja zaidi yako hadi anasahau ahadi mlizopeana, jamani wanawake kuweni na huruma.

Sometime na sie huwa tunapenda kweli.
 
mkuu nilitaka niwe wa kwanza kuchangia ila hujaandika vizuri ,nadhani unataka ushauri wa haraka mpaka kuandika nako umeandika haraka haraka edit kwanza ...ushauri nipo nao mwingi tuu.
 
Tuliza jazba uandike vizuri

kwa uandishi huu bora uachwe tu
 
Mkuu punguza ukurya kidogo,r zinakusumbua sana ,
 
Habari wandugu poreni na majukumu ya kujenfa taifa Leo nipo upande wenu Dada zetu, wake zetu..,

Hivi kwanini unakuta mwanaume unajitaidi angalau kumridhisha mpenzi wako kimapenzi na hata shida za hapa na pale mwisho wa siku anakumwaga eti kisa kakutana na mjanja zaid yko had anasahau ahad mlizopeana jaman wanawake kueni na uluma

Sometime na sie huwa tunapenda kweli.
Wewe jamaa si ndio yule wa jana uliyeachwa na mwanafunzi au?
 
Habari wandugu poreni na majukumu ya kujenfa taifa Leo nipo upande wenu Dada zetu, wake zetu..,

Hivi kwanini unakuta mwanaume unajitaidi angalau kumridhisha mpenzi wako kimapenzi na hata shida za hapa na pale mwisho wa siku anakumwaga eti kisa kakutana na mjanja zaid yko had anasahau ahad mlizopeana jaman wanawake kueni na uluma

Sometime na sie huwa tunapenda kweli.
Mapenzi ni kama salamu tu, ukiwa mdogo utatoa sana shikamoo mpaka basi ila ukikua zitakugeukia mpaka utazikimbia. Ni hayo tu bwana mdogo...
 
mkuu ukiona mtu kabeba ndoo na kidumu mkononi pata funzo....nilichogundua watu wengi wenye mazoea ya kuwa na mpenzi mmoja ndio huwa wanapata tabu wakiachwa...jifunze kuwa na wapenzi wawili na kuendelea itakusaidia sana maana mmoja akidondoka unabaki na mwingine
 
pole sana mkuu, tatizo huwa hatuamini kama mnapenda kweli so akitokea mwenye ahadi nzuri zaidi inabidi tukajaribu
 
Habari wandugu poreni na majukumu ya kujenfa taifa Leo nipo upande wenu Dada zetu, wake zetu..,

Hivi kwanini unakuta mwanaume unajitaidi angalau kumridhisha mpenzi wako kimapenzi na hata shida za hapa na pale mwisho wa siku anakumwaga eti kisa kakutana na mjanja zaid yko had anasahau ahad mlizopeana jaman wanawake kueni na uluma

Sometime na sie huwa tunapenda kweli.


Natamani nimtag ex-shemeji yako hapa!

Ila ninachojua tu everything happens for a reason, kama ambavyo na wewe uliweza kumuacha aliyekupenda kweli kwa kuwa uliona kna mambo hamna compatibility ndivyo na yeye alivyofanya!

Inauma ila let go mkuu...keep your heart clean n open...you will love and be loved again!!!
 
Mi mwenyewe ningekula pesa zako nile kona, hujui hata kuandika ningekupeleka wapi jamani
 
Ulikuwa unamkosea,kakutana mtaalam....wenzio hao wana kichwa kimoja tu!
 
Back
Top Bottom