Yamini ulioila huishia wapi?

Yamini ulioila huishia wapi?

Joined
Nov 7, 2016
Posts
5
Reaction score
2
Habari wakuu.

Naomba maoni yenu kwenye swala hili la ndoa.

Ukitilia maanani kuwa ndoa ifungwapo, yamini huliwa na mwanamke na aidha mwanamume kuwa watapendana na kuvumiliana katika kila hali.

Je, mwenza wako akianza kubadili tabia kwa kuonyesha dharau, majivuno na dalili zote za kuchepuka; kulingana na uaminifu wako kwa yamini uliyoila mbele ya muumba wako, ni hatua sahihi kumuacha?
 
Kabla ya kufikia uamuzi huo.. ni vyema.. ukajaribu kila njia ya kurekebisha tatizo hilo...(kumrekebisha mwenzio). Shirokisha hata ndugu... wanafamilia wanpande zote.

Lakin hayo yakishindikana... the you make a final call... to break it up , sio kwamba inapenda hapana.. ni kwa ajili ya amani na maendeleo yaaisha yako...
 
Back
Top Bottom