SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Hivi ni wasichana wangapi hapa nchini Tanzania wanaopoteza usichana wao au bikra zao kila siku kabla ya kuolewa??
Nimeamua kuuliza hivi kwa sababu nimeshuhudia kwa siku mbili mfulizo (jana na leo) hapa kitaa kuna gest house moja wasichana wadogo kabisa wenye umri kama miaka 15-17 hivi wakitokea gesti na wanaume tena waliowazidi kiumri kama 6 or seven years. Na pia inavyoonekana hao wanaume sio wanafunzi.
Nikaona ni bora nijiridhishe ukweli juu ya hili na kwenda kumuuliza mfanyakazi wa hapo gesti mapokezi ninaye fahamiana naye ambaye alinidhibitishia kuhusu hilo kuwa wale mabinti walitoka "kutafunwa" na ndio ilikuwa mara yao ya kwanza.
Naomba yule ambaye ameshawahi kufanya utafiti wa hili jambo, au ambaye anafahamu takwimu sahihi juu ya hili anishirikishe ufahamu huo. Nitafurahi zaidi kama utaamua kuchangia uchangie kwa hoja na sio kunibeza au kutumia lugha ya matusi.
Karibuni.