Kuna ukweli wowote hapa??

Kuna ukweli wowote hapa??

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,212
Reaction score
16,915
Habari wakuu
nilichosikia kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani [Mzaramu] katika stori zetu za hapa na pale alinambia eti hajaoga kwa siku 14 kilinishangaza hiki kituko hivi ni kweli mtu akiwa mwali anafanyiwa haya mambo?? eti wanawake,wazaramu na makabira mengine haya mambo yapo au?
 
HAPO LAZIMA ATAKUWA ANANUKIA HARUFU YA KIBEBERUU
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Ngoja waje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


~Cmb
 
Habari wakuu
nilichosikia kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani [Mzaramu] katika stori zetu za hapa na pale alinambia eti hajaoga kwa siku 14 kilinishangaza hiki kituko hivi ni kweli mtu akiwa mwali anafanyiwa haya mambo?? eti wanawake,wazaramu na makabira mengine haya mambo yapo au?
Hapo ni full prawns na harufu ya fery soko la samaki!
 
Siku 14? Lazima aongezeke uzito.

Maana uchafu wote utagandia mwilini.
 
Yah ni kweli, kuna binti mmoja nilikuwa naishi nae, alipobalehe akarudi kwao kuchezwa ngoma( tanga kilindi) alikaa ndani siku wiki mbili ila kuna namna ambavyo wanasafisha na pumba and blaa blaa, baada ya hapo hakurudi tena, akatafutiwa na mume kabisa. Ila mkuu hilo ni jambo la kweli kabisa, though these days hayo mambo yanaanza kupungua sababu ya utandawazi
 
Back
Top Bottom