UFANISI WA JAMBO LOLOTE UNAHITAJI UTULIVU WA AKILI... Uko na mpenzi wako lakini akili yako inawaza mambo Mengine kabisaa, Mwanamke ili aweze kuwa tayari katika tendo la ndoa inambidi Mwanaume...
Habarini
Wakuu nina vimiezi kadhaa nipo kazini ila nakumbana na vijachangamoto vidogo vinavyohitaji kua na msaidizi wa ndani, mbaya zaidi bado sijaoa ndo kwanza naongeza kipato changu mke baadae...
Naitwa john Rusaku Nina miaka 27,
Napenda sana maisha ya ndoa,mwenyezi mungu alinijalia nikapata kazi serikalini,ila wanawake wote walionipenda walikuja wakiwa kimasilahi maana...
Habari wana JF?
Bila shaka wazima.
Kijana wenu/mwenzenu nina tatizo moja sielewi nini cha kufanya
Nilikuwa na mpenzi wangu mmoja tulipendana sana na bado nampenda sana na yeye namsifu anajua...
Jana nimesafiri toka Dar to Aarusha,robo tatu ya safari yangu nilikua nimelaliwa na mdada mmoja hvi ambae tulikua seat moja, bahati nzuri alikua mrembo hivyo sikuona hatari sana,lakin hii sio mara...
Habari Wakuu..
Natarajia kuoa na kufanya Harusi mwezi huu wa December.. Kutokana na Gharama na hali Halisi kifedha Kwa wengi (hakuna dili siku Hizi) mass wedding zingesaidia wengi!
Yaani...
Habari za jumapili wapendwa......
Bila ya shaka kwa rehema za muumba sote tu wazima wa afya....na wale ambao afya zao zina mtikisiko Mungu bwana wa majeshi yupo upande wenu katika kipindi hiko...
Sijajua ni kwamba ni roho mbaya au ni ushamba au ni kutojua matunzo ya mwanamke,sipendi mwanamke aniombe hela, yaani kama nina mwanamke halafu akaniomba hela basi ajue tunakosana hapo na nakuwa...
Ni mwanamke mrembo mwenye sura na umbo la kuvutia ambaye uko kwenye umri wa miaka 30 hivi au zaidi na hujaolewa na huna mpenzi wa kudumu. Uko kwenye sherehe fulani ya chakula cha usiku, yaweza...
Kila kitu ambacho ni halisi kinawezekana. Bila shaka unakumbuka vizuri kuhusu namna kutojiamini kwetu kunavyojengwa. Kwa kuwa tunajua chanzo, ni rahisi kupata tiba.
Njia zifuatazo zinaweza...
Christian girl age U24 to marry, regardless tribal, race, height, and location but slim and committed.
don't PM just text via 0783 745 260.
I am 27 slightly black and slim tall, lives and working...
Wakuu, hili sasa ni janga, kama sio balaa!
Huyu binti tumekua katika mahusiano mwaka wa tatu sasa, katika kipindi chote cha uhusiano, amekua akipata ujauzito na matokeo yake yamekua hayaonekani...
Hello, habari zenu wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikua na mchumba angu (sio mpenzi na hatukuwahi kukutana kimwili) ambaye tumedumu kwa miaka miwili, hatukuwahi kugombana wala...
Wasaalam waungwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Mimi nina marafiki zangu huwa nawashangaa wanapo niambia ebwana mwakani lazima nioe but infact at that time hana mchumba,hili...
*Tujifunze kusema "ahsante"*
Maana hapo ulipo si kwa ujanja wako bali Muumba wako. Pia kile ulichonacho "Uhai" sio chako bali umeazimwa. Wakumbuke ndugu na rafiki waliosaidiana na wewe kama...
Alikuwa akisafiri kwenye barabara kuu akiwa juu ya pikipiki yake. Alikuwa akiendesha kwa wastani wa kilimeta 65 kwa saa.
Jambo lenyewe lilitokea ghafla sana. Aligeuka kutazama pembeni mwa...
Wakuu sijui kama uzi huu umewahi kutolewa. Mara kadhaa naulizwa ushauri, inapotokea kijana wa kiume anataka kuoa kati ya msichana mrembo mwenye umbo la kuvutia sana, yaani ukitoka naye kila...
Wana jamiiforum naomba mnishauri sijui na tatizo gani.
Mimi naishi na bro wangu, ana mke na mtoto wa miaka 2 na wadada wa kazi wawili. Yaani muda wote nikiwa nyumbani sina raha kabisa, yani...