Rafiki wa ex wangu ananitaka niwe mkewe

Rafiki wa ex wangu ananitaka niwe mkewe

Lyn Vivac

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
858
Reaction score
1,024
Hello, habari zenu wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikua na mchumba angu (sio mpenzi na hatukuwahi kukutana kimwili) ambaye tumedumu kwa miaka miwili, hatukuwahi kugombana wala sikumfanyia kosa lolote kwa mtazamo wangu, nilimjali kwa kila kitu hadi marafiki zake wakawa wanamwambia kwamba wangetamani na wachumba wao wawe kama mimi.

Nilimpenda kwa vitendo, nilijitoa sana kwake, and alijua kwamba kweli nampenda. Sasa miezi kama miez 5 ilopita, alianza kumfukuzia dada mmoja hv, nilipomuuliza alinijibu vibaya vibaya, nikamvumilia bila kupunguza upendo wangu kwake, lakini kadri siku zilivyoenda aliendelea kuwa karibu sana na dada yule. Niliamua kumuuliza yule dada kama ana mahusiano na mchumba angu, alikataa kabisa japo alikiri kwamba alitongozwa na mchumba angu.

Lakini kwa walivyokuwa karibu sana, ilionekana tayari wana mahusiano. Hivi juzi tu nilipomuuliza mchumba angu khs mipango yetu alinambia kwamba "kama bado ulikua na malengo na mm delete, siwezi kumsaliti (........)wangu" alitaja jina lake, jambo ambalo liliniuma sana. Sikulia sababu nilikua nishaona direction ya uhusiano wetu. Bas, nilikubaliana na matokeo sababu sipendi kumlazimisha mtu ktk mahusiano.

Sasa, kazi ipo hapa... Mmoja wa marafiki za x wangu walioujua uhusiano wetu vyema anataka anioe (kwa mujibu wake). Nimemuuliza maswali baadhi lakini kubwa likiwa "unawezaje kumuoa mtu ambaye kabisa unajua alikua ni wa rafiki yako wa karibu sana"?
Huyu kaka amenijibu kwamba CV yangu inajiuza, anapenda nilivyokua namtendea mchumba angu, na anataka anioe next year.

Hapa nimebaki dilemma, hivi kweli ni busara kuolewa na rafiki wa ex wako? Ktk moyo wangu sidhani kama nampenda maana bado nina mawazo sijatulia kias cha kuanzisha mahusiano tena. Nahitaji busara zenu wapendwa. Busara zenu pamoja na maombi nayofanya yatanipa mwisho mzuri.

Kwa wenye midomo iso tohara tusameheaneni tu. Hili halinisaidii tu mleta mada bali na wengine kama huyu mleta mada.
 
Duh!

Kwa hiyo anataka akuoe moja kwa moja...hakuna cha dating wala nini?

Ndoa mwendokasi😀.
 
Hapo kwenye rangi ndiyo ujikite na kuamua kusuka ama kunyoa. Usikubali kuolewa tu bila ya kumpenda huyo mume mtarajiwa. Tafakari kwa kina hapo kwenye rangi na ukishaamua upande upi uelekee itakusaidia kufanya maamuzi. Usikute huyu anataka kukuvua picchu tu kisha asepe zake.

Hello, habari zenu wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikua na mchumba angu (sio mpenzi na hatukuwahi kukutana kimwili) ambaye tumedumu kwa miaka miwili, hatukuwahi kugombana wala sikumfanyia kosa lolote kwa mtazamo wangu, nilimjali kwa kila kitu hadi marafiki zake wakawa wanamwambia kwamba wangetamani na wachumba wao wawe kama mimi.

Nilimpenda kwa vitendo, nilijitoa sana kwake, and alijua kwamba kweli nampenda. Sasa miezi kama miez 5 ilopita, alianza kumfukuzia dada mmoja hv, nilipomuuliza alinijibu vibaya vibaya, nikamvumilia bila kupunguza upendo wangu kwake, lakini kadri siku zilivyoenda aliendelea kuwa karibu sana na dada yule. Niliamua kumuuliza yule dada kama ana mahusiano na mchumba angu, alikataa kabisa japo alikiri kwamba alitongozwa na mchumba angu.

Lakini kwa walivyokuwa karibu sana, ilionekana tayari wana mahusiano. Hivi juzi tu nilipomuuliza mchumba angu khs mipango yetu alinambia kwamba "kama bado ulikua na malengo na mm delete, siwezi kumsaliti (........)wangu" alitaja jina lake, jambo ambalo liliniuma sana. Sikulia sababu nilikua nishaona direction ya uhusiano wetu. Bas, nilikubaliana na matokeo sababu sipendi kumlazimisha mtu ktk mahusiano.

Sasa, kazi ipo hapa... Mmoja wa marafiki za x wangu walioujua uhusiano wetu vyema anataka anioe (kwa mujibu wake). Nimemuuliza maswali baadhi lakini kubwa likiwa "unawezaje kumuoa mtu ambaye kabisa unajua alikua ni wa rafiki yako wa karibu sana"?
Huyu kaka amenijibu kwamba CV yangu inajiuza, anapenda nilivyokua namtendea mchumba angu, na anataka anioe next year.

Hapa nimebaki dilemma, hivi kweli ni busara kuolewa na rafiki wa ex wako? Ktk moyo wangu sidhani kama nampenda maana bado nina mawazo sijatulia kias cha kuanzisha mahusiano tena. Nahitaji busara zenu wapendwa. Busara zenu pamoja na maombi nayofanya yatanipa mwisho mzuri.

Kwa wenye midomo iso tohara tusameheaneni tu. Hili halinisaidii tu mleta mada bali na wengine kama huyu mleta mada.
 
Huyo si muoaji anataka ku take advantage ya matatizo uliyonayo kukula hiyo papuchi,mwambie humpendi,usimkubali kwa kujidanganya kwamba utapunguza machungu huyo ataongeza machungu tu.
 
We olewa tu na huyo jamaa,maana huyo ex wako alikuwa kama kaka yako ulimjali bila kumpa papuchi huyo si kaka yako kabisa. Mpe ex wako hongera kwanza kabla ya kuolewa kwa kitendo chake cha kukaa miaka miwili bila kula papuchi huo ni uvumilivu wa hali ya juu sana.
 
muulize hiyo miaka 2 yote alikuwa anatobwa na nani ikiwa boyfriend wake hajawai kumpa je yeye bikra mpaka ameshindwa kumpa boy wake?
 
Pole sana dada,kikubwa sikiliza moyo wako unakuambia nn kwanza,kama ni kutulia tulia kwa muda ili upate jibu sahii,lkn binafsi ningependa uolewe tu na huyo rafik wa x wako maana siyo kwamba x wako uli sex naye la hasha!sasa unaogopaje hapo?,kitu kingine kama humupendi huyo jamaa jiulize kwann humpend isije ikawa humpend kisa ni rafik wa x wako tu!!kaa fikilia kwa muda ndiyo ufanye maamzi USIKULUPUKE KOSEA VYOTE LKN USIKOSEE KUOA/KUOLEWA
 
dah! ujue mahusiano yako na uy ex wako kidogo yan walakin" hv kweli mmekaa miaka miwili bila kufanya chochote ayo ni mahusiano halal kwel? mm ninachokushaur msome kwanza uyu jamaa kama ana nia kwel ya kukuoa ukigundua kama anania ya dhat bas we mwambie tu afanye izo taratibu maana huwez kumfikiria mtu ambaye mmekaa miaka miwili kama mtu na mpenzi wake bila kufanya chochote, huenda uyo ex wako alikuwa na matatizo
 
Hapo kutakuwa na kisasi hawa jamaa watakuwa hawaekewani na mwishowe x atakugegeda kulipiza kisasi na ndio itakuwa mwisho wa iyo ndoa kwa sababu atataka jamaa ajue
 
Duh!

Kwa hiyo anataka akuoe moja kwa moja...hakuna cha dating wala nini?

Ndoa mwendokasi😀.
Hapana, anahitaji kunioa next year, tabia tunajuana vzuri maana nimefahamiana nae two yrs sasa ila cna hakika kama nampenda.
 
Back
Top Bottom