Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana jamvi. Zipo ndoa za aina nyingi ila commonly ni, 1. Ndoa za kikristo Hapa mtu mume huoa mke mmoja tu kisheria na mlango hufungwa kwa wanandoa kufaidiana peke yao. Hapa kama hukuwahi kuutumia...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wana Jf.Naomba kuuliza hivi inawezekana mwanamke amekuzungusha miaka 03.Kisha akakubali na akawa anaupendo wa dhati? Eti Wadada kwa experience yenu unaweza ukamzingua mwanaume muda mrefu na...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Tangu nikiwa mdogo mpaka sasa huwa sielewi ama sijajua makuwadi (Wa kike na wa kiume) huwa wanafaidika nini kwa kufanya ukuwadi wao? Na mtizamo wa wanawake au wanaume kwa makuwadi ukoje?
1 Reactions
32 Replies
9K Views
Kuna mmama kijana ana shepu la haja sio mchina, niliingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi ya siri siri bila watu wengi kujua maana nilikuwa nakutana nae usiku alafu juu kwa juu, nimetokea...
5 Reactions
67 Replies
12K Views
Wanawake ukweli ni kwamba hakuna mwanaume anayetaka kuwa na Six Packs ili a date na mwanamke mmoja tu.. Ukiona mwanaume ana Six Packs maana yake anataka kuvutia wanawake wengi.. Ungejua Kazi...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari za kazi wana JF, Leo katika pilika zangu za ujenzi wa taifa kama mwl. Mkuu nikapita ofisini kwa walimu wenzangu kuwasabahi kama ilivyo dada. Mwl mmoja akasema mkuu unaonaje kabla ya...
2 Reactions
68 Replies
7K Views
Habarini wakuu! Katika mambo muhimu katika mashindano yoyote Yale, yawe Mapigano ya kwenye majukwaa yaani Masumbwi au Riadha, Pumzi ni jambo la muhimu sana licha ya mbinu zingine kutumika. Moja...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Ushawahi kubadilishana line yako ya simu na ya mpenzi wako? Nini kilitokea? Je, uliexpirience michepuko mingapi inayomsumbua? Au ulijikuta ni njiakuu kwake?
0 Reactions
82 Replies
13K Views
Hivi wanawake wenzangu, huwa mnatumia mbinu gani ili muweze kuhongwa na wanaume? Kwani hata sijui nitumie maneno gani ili niweze kupata pesa kutoka kwao. Wengine wanajikausha tu hadi mtu unaaga...
4 Reactions
89 Replies
13K Views
Habarini wakuu kama mada inavyojieleza, ni dhahiri kunawatu hua wanapenda wakute mpenzi aliekamilika kwenye mapenzi anajua kila kitu au wengine hua wanapenda awe na mtu ambaye hajui chochote ila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Naanza kuelewa sasa ni kwa nini viongozi mbalimbali wanaposafiri huwa wanaambatana na wenza wao. Hali ya kuwa mbali na mpenz imekuwa ikinipa wakati mgumu sana hususani ninapokuwa niko...
0 Reactions
1 Replies
853 Views
Habarini wanaMMU na wazazi pia walezi kwa ujumla. Napenda kuwakumbusha kuwa katabia ka baadhi ya wazazi au walezi kulala kitanda kimoja na watoto wadogo (sio kufanya nao mapenzi) huku wao kama...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua kutoka kwa wenye uzoefu kwamba Mwanaume/Mvulana anapoenda na mchumba wake wa kike kumtambulisha kwao hasa mikoa ya mbali je wakifika kwao na mwanaume wakati wa kulala huyo...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
nahitaji girlfriend kuanzia 17yrs-20yrs nipate through my phone no:
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hayo ni maneno ya siri za wanaume nilopewa na babu yangu siku nilipo mpelekea mashuka 2 kijijini kwake. Anasema mwanamke anayechepuka mwili wake hupoteza uwezo wa kujipiga picha na kuzihamishia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya kujiwekea malengo yangu flani na kuweka mapenzi pembeni sasa nataka niingie katika mahusiano rasmi. Msiniulize huyo mwanaume nitampata wapi naombeni ushauri wa ukweli jinsi ya kuishi na...
3 Reactions
176 Replies
15K Views
Nawauliza wanaume wenzangu maana huwa nasikiasikia tu,kuwa mtu kamfumania malkia wake live akitoa lile tunda, lakini wameyamaliza kiutu uzima! Hivi kweli au...Naomba nijue mapema ili namie nikioa...
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Changamoto katika maisha ya ndoa. Ni miaka minne sasa imepita katika ndoa na huu tunaufukuzia wa tano. Ninao watoto watatu wakiwa wawili wa kike na mmoja wa kiume. Tabia ya Mke wangu ya ukali...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Mpende mke wako mzuri Usimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae. Inamuumiza sana. Mithali 15:1 Usimuongelee ubaya kwa mtu yeyote. Mke wako atakua kile ambacho unamuita Mwanzo 2:19 Usimpe mwanamke...
9 Reactions
42 Replies
6K Views
najua kama binadamu uliyekamilika ni lazima umewahi kukutana na mtu mahali popote na ukajikuta unampenda kupita kiasi..zijue sababu 1.MWONEKANO kwa wanawake huvutiwa na u handsome na...
9 Reactions
53 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…