Kuwadi anafaidika nini?

Kuwadi anafaidika nini?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,999
Reaction score
51,218
Tangu nikiwa mdogo mpaka sasa huwa sielewi ama sijajua makuwadi (Wa kike na wa kiume) huwa wanafaidika nini kwa kufanya ukuwadi wao? Na mtizamo wa wanawake au wanaume kwa makuwadi ukoje?
 
Kwani mwalimu aliyekufundisha kusoma anafaidika nini????
Hawa ni watu wawili tofauti kabisa. Huwezi kuniambia mtu anayekuja kumtongoza mke wangu ili akafanye mapenzi na mtu mwingine kuwa anafanana na mwalimu aliyenifundisha kusoma na kuandika!! Hapana hiyo siyo kweli.
 
Hawa ni watu wawili tofauti kabisa. Huwezi kuniambia mtu anayekuja kumtongoza mke wangu ili akafanye mapenzi na mtu mwingine kuwa anafanana na mwalimu aliyenifundisha kusoma na kuandika? Hapana.
Kumbee wamekutongozea mkeo,
SOME TIMES MAKUWADI NI WALIMU WA MADOMO ZEGE.
 
Kumbee wamekutongozea mkeo,
SOME TIMES MAKUWADI NI WALIMU WA MADOMO ZEGE.
Ukishirikisha ubongo kidogo utajua kwamba humu JF tunajifunza na kuelimishana kwa Pamoja. Kwa umri wangu siwezi kuleta mambo ya nyumbani kwangu hapa JF hata kwa njia ya Mzunguko kwani kwanza mimi ni "verified User" lakini pia nayaheshimu mahusiano yangu na mke wangu.
 
Muulize anaejiita Pet.... wamuache " jibu utaipata zuri kwake
 
Du hii mada ngumu
bora ingekuwa Jukwaa la Siasa lkn la Mapenzi
mm simo
 
Watu wengine wanasikia raha tu kuona wenzao wanaegeshwa.[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom