Wewe ungefanyaje!?

Wewe ungefanyaje!?

kingundya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
3,242
Reaction score
4,801
Changamoto katika maisha ya ndoa.
Ni miaka minne sasa imepita katika ndoa na huu tunaufukuzia wa tano. Ninao watoto watatu wakiwa wawili wa kike na mmoja wa kiume.
Tabia ya Mke wangu ya ukali kupita kiasi kwa wtoto ilinifanya niwe na maswali mengi sana.

Hasira hii haiishii kwa hawa vijana pekee ikawa inaenda hadi kwa ndugu zake hasa mjomba wake ambaye ndiye amemlea baada ya mama yake mkubwa kumkabidhi huko akiwa mdogo.Nilivyoona hali hii ikanibidi nmuulize taratiiibu kabisa hasahasa juu ya chuki kwa mjomba maana huwenda hawa watoto anawafunza akawa anasita kusema.

Siku nyingine alipokuwa Tayari akaamua kuniambia kuwa miaka aliyokaa na mjomba wake akisoma shule ya msingi na sekondari, MJOMBA WAKE HUYO MSHIKA DINI alimuweka kinyumba.Yaani kaka wa marehemu mama yake akaamua kuwa anambaka bintiye.

Ni zamani sana kweli na imemtokea yeye ila imi iliniumiza sana kusikia hivyo maana sikutegemea kukutana na mkasa wa aina hii.
Ukatili huu umevuka viwango vya uvumilivu.

Mjomba bado yupo.
Anajinadi kuwa ndiye aliyemsomesha.
Anadai kutambulika kwa nafasi yake ya ujomba.

Ukiwa katika nafasi hii niliyo mimi nipe maoni yako ndugu mwana Jf.
 
Ni ngumu sana kwa mkeo kwa kweli, kwanza muelewe muonyeshe upendo wa ziada aloukosa hapo zamani.

Suala la mjomba kwa kweli ni ngumu kumdharau bado atabaki kuwa mjomba tuu, mpeni nafasi anayolilia na mkeo amsamehe ili awe na amani ya moyo wake, adhabu hutoa Mungu pekee ndo ninavyoamini mimi
 
Changamoto katika maisha ya ndoa.
Ni miaka minne sasa imepita katika ndoa na huu tunaufukuzia wa tano. Ninao watoto watatu wakiwa wawili wa kike na mmoja wa kiume.
Tabia ya Mke wangu ya ukali kupita kiasi kwa wtoto ilinifanya niwe na maswali mengi sana.
Hasira hii haiishii kwa hawa vijana pekee ikawa inaenda hadi kwa ndugu zake hasa mjomba wake ambaye ndiye amemlea baada ya mama yake mkubwa kumkabidhi huko akiwa mdogo.Nilivyoona hali hii ikanibidi nmuulize taratiiibu kabisa hasahasa juu ya chuki kwa mjomba maana huwenda hawa watoto anawafunza akawa anasita kusema. Siku nyingine alipokuwa Tayari akaamua kuniambia kuwa miaka aliyokaa na mjomba wake akisoma shule ya msingi na sekondari, MJOMBA WAKE HUYO MSHIKA DINI alimuweka kinyumba.Yaani kaka wa marehemu mama yake akaamua kuwa anambaka bintiye.
Ni zamani sana kweli na imemtokea yeye ila imi iliniumiza sana kusikia hivyo maana sikutegemea kukutana na mkasa wa aina hii.
Ukatili huu umevuka viwango vya uvumilivu.
Mjomba bado yupo.
Anajinadi kuwa ndiye aliyemsomesha.
Anadai kutambulika kwa nafasi yake ya ujomba.

Ukiwa katika nafasi hii niliyo mimi nipe maoni yako ndugu mwana Jf.
Mungu ndiye tumaini letu, mtegemee Ili akusahaulishe yote
 
yaani unakaa na mume mwenzio ndani? mwambie huyo mjomba kwamba file lake la zamani unalo aondoke mapema kabla hujaharibu .maana anamsababishia mkeo msongo wa mawazo
na huyo mkeo alitaka mwenyewe miaka ukae kinyumba na mjomba??????
 
duuu pole mkuu! Hapo inabidi umsamehe mkeo huwezi jua ni mazingira gani magumu alikutana nayo mpaka alishindwa kukataa!

Fikiria ukifanya maamuzi magumu wanao itakuwaje? Mpende mkeo ili asahau unyama aliofanyiwa
 
Changamoto katika maisha ya ndoa.
Ni miaka minne sasa imepita katika ndoa na huu tunaufukuzia wa tano. Ninao watoto watatu wakiwa wawili wa kike na mmoja wa kiume.
Tabia ya Mke wangu ya ukali kupita kiasi kwa wtoto ilinifanya niwe na maswali mengi sana.
Hasira hii haiishii kwa hawa vijana pekee ikawa inaenda hadi kwa ndugu zake hasa mjomba wake ambaye ndiye amemlea baada ya mama yake mkubwa kumkabidhi huko akiwa mdogo.Nilivyoona hali hii ikanibidi nmuulize taratiiibu kabisa hasahasa juu ya chuki kwa mjomba maana huwenda hawa watoto anawafunza akawa anasita kusema. Siku nyingine alipokuwa Tayari akaamua kuniambia kuwa miaka aliyokaa na mjomba wake akisoma shule ya msingi na sekondari, MJOMBA WAKE HUYO MSHIKA DINI alimuweka kinyumba.Yaani kaka wa marehemu mama yake akaamua kuwa anambaka bintiye.
Ni zamani sana kweli na imemtokea yeye ila imi iliniumiza sana kusikia hivyo maana sikutegemea kukutana na mkasa wa aina hii.
Ukatili huu umevuka viwango vya uvumilivu.
Mjomba bado yupo.
Anajinadi kuwa ndiye aliyemsomesha.
Anadai kutambulika kwa nafasi yake ya ujomba.

Ukiwa katika nafasi hii niliyo mimi nipe maoni yako ndugu mwana Jf.
Pole sana mkuu ,hayo yashapita mjenge kisaikolojia mkeo ayasahau yote alioptia na wewe usilipe uzito kwenye akili yako hilo tukio sababu lilitokea zamani,
 
Changamoto katika maisha ya ndoa.
Ni miaka minne sasa imepita katika ndoa na huu tunaufukuzia wa tano. Ninao watoto watatu wakiwa wawili wa kike na mmoja wa kiume.
Tabia ya Mke wangu ya ukali kupita kiasi kwa wtoto ilinifanya niwe na maswali mengi sana.

Hasira hii haiishii kwa hawa vijana pekee ikawa inaenda hadi kwa ndugu zake hasa mjomba wake ambaye ndiye amemlea baada ya mama yake mkubwa kumkabidhi huko akiwa mdogo.Nilivyoona hali hii ikanibidi nmuulize taratiiibu kabisa hasahasa juu ya chuki kwa mjomba maana huwenda hawa watoto anawafunza akawa anasita kusema.

Siku nyingine alipokuwa Tayari akaamua kuniambia kuwa miaka aliyokaa na mjomba wake akisoma shule ya msingi na sekondari, MJOMBA WAKE HUYO MSHIKA DINI alimuweka kinyumba.Yaani kaka wa marehemu mama yake akaamua kuwa anambaka bintiye.

Ni zamani sana kweli na imemtokea yeye ila imi iliniumiza sana kusikia hivyo maana sikutegemea kukutana na mkasa wa aina hii.
Ukatili huu umevuka viwango vya uvumilivu.

Mjomba bado yupo.
Anajinadi kuwa ndiye aliyemsomesha.
Anadai kutambulika kwa nafasi yake ya ujomba.

Ukiwa katika nafasi hii niliyo mimi nipe maoni yako ndugu mwana Jf.
Let the bygones be bygone
 
sijaona sura yako .mahusiano yanaitaji kuwa serias na commited .mimi sikuwa tayari kiivo ningekukwaza tu ngoja mwakani inshalah
Hahahaha mwakani ndio hutonikwaza....zimebaki cku 29 tu ifike hiyo mwakani
 
duuu pole mkuu! Hapo inabidi umsamehe mkeo huwezi jua ni mazingira gani magumu alikutana nayo mpaka alishindwa kukataa!

Fikiria ukifanya maamuzi magumu wanao itakuwaje? Mpende mkeo ili asana unyama aliofanyiwa

Umemuelewa mtoa mada kweli??
Hana lengo la kumuacha bali anataka kujua namna ya kumsaidia mkewe kuondokana na hali aliyo nayo.
Hopefully utakua umeelewa sasa mshauri
 
Mkeo anahitaji huduma ya kidaktari kuweza kuondokana na psychological effects za aliyotendewa.

Pili, kama huyo mjomba anaishi nanyi nadhani ni wakati wa yeye kufungasha na kwenda kwake. Besides, alijshajilipa in advance.

Pole sana mkuu!
 
Back
Top Bottom