Hivi hii inawezekana?

Nsema

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
272
466
Habari wana Jf.Naomba kuuliza hivi inawezekana mwanamke amekuzungusha miaka 03.Kisha akakubali na akawa anaupendo wa dhati?
Eti Wadada kwa experience yenu unaweza ukamzingua mwanaume muda mrefu na yeye akawa na mapafu ya mbwa ya kukufukuzia na mwisho ukamkubali na kumkabidhi moyo wako wote bila nusunusu?
Naomba kuwasilisha.
 
Inategemea kwanini alikuzungusha....labda kwa sababu ya elimu ,umri, au personal tuu hakutaka kujihusisha na mapenzi.... Hao turn up yao ni nzuri..

Ila wale wanaturn baada ya kuvurugwa huko walipokuwa....nawewe unatakiwa uwakimbie

BTW miaka mitatu yotee ulikuwa unamsubrir??? Au uliendelea....then huna msimamo karudi, unaanza kumuwaza waza????
 
From my experience, msichana bikra huwa ni vigumu sana kumkubali mwanaume kirahisi hata miaka 3 inafika kabisa, ila kama sio bikra ujue ana yake huyo.
 
Nawashilisha taarifa Mkuu bikra hakuna Tanzania ya wakati huu wa Handrod
 
Inategemea kwanini alikuzungusha....labda kwa sababu ya elimu ,umri, au personal tuu hakutaka kujihusisha na mapenzi.... Hao turn up yao ni nzuri..

Ila wale wanaturn baada ya kuvurugwa huko walipokuwa....nawewe unatakiwa uwakimbie

BTW miaka mitatu yotee ulikuwa unamsubrir??? Au uliendelea....then huna msimamo karudi, unaanza kumuwaza waza????
Nilimpenda sana. Sikuona mwanamke ambaye anaweza kumsubstute.
 
Habari wana Jf.Naomba kuuliza hivi inawezekana mwanamke amekuzungusha miaka 03.Kisha akakubali na akawa anaupendo wa dhati?
Eti Wadada kwa experience yenu unaweza ukamzingua mwanaume muda mrefu na yeye akawa na mapafu ya mbwa ya kukufukuzia na mwisho ukamkubali na kumkabidhi moyo wako wote bila nusunusu?
Naomba kuwasilisha.
possible kabisa nilimzungusha mtu miaka mi3 ndo alikuja kua pehel pyaar(first love)hakukata tamaa!!
 
Back
Top Bottom