Kuisha mbali na Mpenzi.

Kuisha mbali na Mpenzi.

mongoya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2014
Posts
298
Reaction score
120
Wakuu,

Naanza kuelewa sasa ni kwa nini viongozi mbalimbali wanaposafiri huwa wanaambatana na wenza wao.

Hali ya kuwa mbali na mpenz imekuwa ikinipa wakati mgumu sana hususani ninapokuwa niko safarini yani huwa nashindwa kabisa kuhimili dhoruba nizionazo machoni mwangu na mwisho wa siku hadi natamani kuomba friend Match Japokuwa siipendi hali hiyo lakini huwa nashindwa kabisa.

Hivi nyie wenzangu ambao huwa mnakuwa safarini zaidi hata mwezi huwa mnawezaje kumshinda huyu SHETANI.?
 
Hii kitu huwa sipendi kbs nafurahia maisha kama nakaa karibu na mwenzangu
 
Back
Top Bottom