Ushauri: Nifanyeje niishi na mwanaume bila kumuudhi?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,470
45,614
Baada ya kujiwekea malengo yangu flani na kuweka mapenzi pembeni
sasa nataka niingie katika mahusiano rasmi.

Msiniulize huyo mwanaume nitampata wapi naombeni ushauri wa ukweli jinsi ya kuishi na mwanaume bila kumuudhi maana mimi hapa nina old style ambazo humu naona wengi hamzipendi japo kwangu sioni zina shida mfano kuomba hela, kupenda offer n.k.

Anyway naweza kuacha kuomba hela japo sio fair lakini ila haya niashaurini nibehave vipi nisije kupeperusha ndege wangu bure.

Utani na matusi tuweke pembeni!
 
Kwanza, je huyo anayekuoa yupo tayari kukuchulia madhaifu yako na kufanya yale anayojua yanakupendeza tu? Na wewe je? Upo tayari kufanya hivyo kwake? Kama kila mmoja wenu atakuwa tayari kumfanyia mwenzie hivyo, basi maisha yenu yatakuwa raha mustarehe, buruda-a-ani !
 
Mimi natafuta mtu kama wewe, napenda kuhonga sana sijui kama ni matatizo ama la
 
Kwanza ahsante kwa kuniona kama ninafaa kukupa ushauri. mie ushauri wangu ni kwamba ukimpata huyo "ndege" cha kwanza kabisa unatakiwa kumstudy anapenda nini? anachukia nini? kwa ujumla umjue tabia yake. Ukishamjua hakikisha kuwa yale anayoyapenda kama ni mema na wewe umuishi, lakini kama yale anayoyapenda kwa kiasi Fulani sio mazuri basi utamwambia kwa kutumia ile ambayo kipare tunaita polite language umbadilishe taratibu, pia kwa upande wako uwe tayari kugain na kudrop mambo mbalimbali. Kwa mfano akikwambia kuwa hapendezwi na tabia yako Fulani na wewe kweli ukijijua kuwa hiyo tabia sio njema basi iache mara moja, na yale ya kwake mazuri uyaige.

Nakutakia kila la kheri katika mahusiano yako hayo na huyo mpendwa wako.
 
amini hivi kila mtu anamadhaifu yake na hakuna mkamilifu, chukulianane hilo ndiyo muhimu... mpende usitafute mabaya yake ila funika ubaya kwa mazuri yake... usipende mashindano kama kujibishana bila sababu .. kuwa mtii kwake .... be laddish yani deka, pozi kiasi, omba pesa kimahaba usiache kuomba pesa, yah
 
Duuh! Mungu akusaidie umpate mwanaume halisi maana ukimpata huyu wewe mwenyewe utashangaa mambo yatakavyo nyooka, kikubwa tu Heshima + uvumilivu+ pendeka.
 
amini hivi kila mtu anamadhaifu yake na hakuna mkamilifu, chukulianane hilo ndiyo muhimu... mpende usitafute mabaya yake ila funika ubaya kwa mazuri yake... usipende mashindano kama kujibishana bila sababu .. kuwa mtii kwake .... be laddish yani deka, pozi kiasi, omba pesa kimahaba usiache kuomba pesa, yah

(bold) umenifanya nicheke kwa sauti kubwa hadi wenzangu wananishangaa
 
Kwanza, je huyo anayekuoa yupo tayari kukuchulia madhaifu yako na kufanya yale anayojua yanakupendeza tu? Na wewe je? Upo tayari kufanya hivyo kwake? Kama kila mmoja wenu atakuwa tayari kumfanyia mwenzie hivyo, basi maisha yenu yatakuwa raha mustarehe, buruda-a-ani !
kwanza sijasema naolewa mkuu? nani anaoa siku hizi?
pili mimi nipo tayari kwa madhaifu yake nitajitaidi kumboresha hata mimi sio malaika nina majanga kibao vilevile mkuu nae anatakiwa kunielewa
 
Kidume kikitaka Mbunya usikatalie kabisa na kama upo kwenye days of our lives mchezee hadi amalize... na usipige mizinga katikati ya Tendo maana linapoteza stimu... jongoo anaweza lala hafla
papuchi itatoka kwa makubaliano maalumu sana yaani hapo ndo pagumu
 
amini hivi kila mtu anamadhaifu yake na hakuna mkamilifu, chukulianane hilo ndiyo muhimu... mpende usitafute mabaya yake ila funika ubaya kwa mazuri yake... usipende mashindano kama kujibishana bila sababu .. kuwa mtii kwake .... be laddish yani deka, pozi kiasi, omba pesa kimahaba usiache kuomba pesa, yah
ahahaaa hela hawataki kuombwa mama
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom