Wana JF natumai mu wazima.. Na mnaendelea vyema kulisongesha gurudumu la taifa..
Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja...
Wadungu kutokana na maendeleo ya kijamii na ukuaji wa miji...
Inawezekana ni ubinafsi, pengine upumbavu, ila nipe nafasi ya kuelezea.
Ki-DHANA
Hakuna mwanaume mwaminifu kwa mpenzi mmoja(All men cheat): Hii dhana imeletwa na kusisitizwa na wanawake wenyewe...
Habarini za muda huu wakuu,
Leo nimekuja na swala moja ambapo kiukweli linaitesa jamii yetu kisaikolojia. Kitendo cha kuzaa na mwanamke na kumwacha alee mtoto inaleta tafrani sana hasa kwenye...
HABARI ZENU..
Nina umri wa miaka 23,Kuna binti naendelea kutengeneza uhusiano wa kimapenzi nae...nashukuru mungu japo kihusiano wa kimapenzi hajawa wazi...ila yupo karibu namm sana mpaka nahisi...
Habari za mchana,
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeoa miaka miwili iliyopita na nampenda sana mke wangu.Nimejaribu kumpa mimba mke wangu kwa miaka 2 hiyo lakini imeshindikana, ilinibidi niende kwa...
helo guys!
kwa mila zetu za kibongo imezoeleka kwamba harusi inafanywa na bwana harusi kwao! ondoa wenzetu waislamu!
mfano kama mimi ni mchaga naoana na muhaya sherehe au harusi itakuwa bukoba...
Wana jamii
Kuna mwanamke mmoja nimezoeana nae sana kwa issue za kiofisi, lakini huwa tunapiga story mbalimbali kama dada yangu ambaye namuhushimu sana na pia kama mteja na yeye mara nyingi huwa...
Habari wanaMMU
Leo nakuhakikishia kuwa usikate tamaa ya kupata mke au mme mwema Mungu anakuandalia.
Endelea kumwomba Mungu siku zote atakufanikishia hitaji la moyo wako.
Mchana mwema
Mume Anitaki Tena Baada Yakupata Hawara Nifanyeje, Tumeoana miaka 4 Sasa,tuna Mtoto Mmoja Nanina Mimba Tena Hanijali, Hanipi Haki Yandoa Miez Miwili Sasa, Ananidharirisha Wamarafikize, Nakunisemea...
Utafiti wangu unanionyesha kuwa mwanamke anaona raha kuwa dhaifu mwanamke anaona raha kuwa chini ya mwanaume mwanamke anaona raha kuingiliwa kimwili kwa njia za nguvu (si ubakaji) na lijanadume...
Habari zenu wakuu,
Asilimia kubwa ya wanajamii mmebarikiwa kupata watoto hata kwa asie na mtoto aliemzaa anae wandugu yake.
Ukweli ni kwamba tabia za wadogo zetu, wanetu zimeharibika kwa kiasi...
Jamani hizi ndo sifa za mpenzi wangu weka na zako kama unazo;
POSITIVE;
1: Mpole sana.
2: Msikivu.
3: Mwerevu.
4: Bahiili sio mpenzi wa kutumia pesa.
5: Hapendi nikasirike.
6: Hapendi kabisa niwe...
Ni msichana ninayempenda sana. Mwaka mmoja umepita amekua akinikataa nisiwe naye katika mahusiano kwa sababu nipo masomi nayeye pia anajua elimu ilivyo amesoma nayeye amemaliza na anafanya kazi...
Katika kila wanawake 10 utakaokutana nao,7 wamevaa nywele bandia, kwa hiyo ni ngumu kuwajua sura zao halisi. Hawa wanawake wanaovaa hayo majinywele bandia sijui wamekula maharagwe ya wapi?
Nani...
. *DHAMBI YA KUANGALIA PICHA ZA NGONO*
Picha za uchi na za ngono hazikutengenezwa kwa lengo la kukupatia burudani wala kukupatia furaha; zilikusudiwa kwa lengo la kuwaangamiza kabisa...
Habari wakuu,
Natumai muwazima. Huu mkasa ulinikuta miaka 10 iliyopita, mpaka leo sijapata jibu, wanaume mwaweza nisaidia kwa hili.
Nakumbuka niko chuo mwaka wa kwanza, fresh from school...
Wadau!
Nimeshuhudia watu kadhaa kukumbwa na dholuba la kufulia/ukata au kufukuzwa kazi punde tu wanapooa au kuolewa!
Wataalam na watu wazima njooni hapa tuelimishane siri iliyopo kwenye ufukara...
Habari wana jamvini
Nina shida kidogo ndani ya familia yangu, na mara nyingi nimepata ushauri mzuri tu kutoka ndani ya wana jamii wa JF japo wengine watakukejeli na mengine mengi.
Leo nimekuja...
Miaka kadhaa imepita toka nilipokutana na msichana ambaye nilitokea kumpenda sana kuliko maelezo, hadi ilifika wakati rafiki walikuwa wananishangaa maana ilikuwa ni more than love.
Maisha...