Hadza
Senior Member
- Nov 16, 2016
- 162
- 164
Habari wakuu,
Natumai muwazima. Huu mkasa ulinikuta miaka 10 iliyopita, mpaka leo sijapata jibu, wanaume mwaweza nisaidia kwa hili.
Nakumbuka niko chuo mwaka wa kwanza, fresh from school, alitokea kaka mmoja age mate akawa rafiki yangu. We were best friends. Muda ulivyozidi kwenda yuko kaka akaanza ku develop feelings za mapenzi juu yangu. Mwaka wa pili akanitamkia kuwa anataka tuwe na mahusiano ya kimapenzi. Sababu tulikuwa marafiki haikuwa na complications ila kama mtoto wa kike lazima niliweka pozi pozi kidogo.
Baada ya miezi 3 nikawa nimekubali, (of course hata mie nilikuwa namfeel jamaa kimtindo). Ila nilimpa sharti moja ambalo ndio limesababisha huu uzi, kwamba first sex lazima ifanyike nje ya mji(tulikuwa dar kwa wakati huo). Jamaa akajipanga week end tukaenda mkoa wa jirani. Tukachukua hotel, vinywaji then chakula. Wakati tunaendelea kula na kunywa jamaa akaanza kulalamika tumbo na jasho likaanza kumtoka. Nikaanza kuogopa. Nakumbuka hakuna kilichoendelea zaidi ya jamaa kutapika na kuumwa tumbo, . Mashine haikusimama kabisa, alikuwa anajitahidi ila kitu kilikuwa kama uji, haikufanya kazi kabisa. Kesho yake asubuhi ikabidi tupande gari then turudi dar es salaam, direct hospital.Haukuonekana ugonjwa wowote.
Next time tuli re-arange mambo yakaenda vizuri.
Mpaka leo nikiwaza hilo tukio nakosa jibu kwamba sababu ilikuwa ni nini, je wanaume hali hii inaweza kusababishwa na nini? Ni kwa sababu ilikuwa siku ya kwanza na alikuwa amepania sana ndio maana mambo yakatokea vile?