Waume kwa wake tujiangalie upya kwenye hili...

Namge

Namge

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Messages
1,184
Likes
1,197
Points
280
Namge

Namge

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2016
1,184 1,197 280
Wana JF natumai mu wazima.. Na mnaendelea vyema kulisongesha gurudumu la taifa..

Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja...
Wadungu kutokana na maendeleo ya kijamii na ukuaji wa miji.. Kumeleteleza kuwapo kwa kwa hali ya familia nyingi kuishi maisha ya kupangisha..
Hali inapelekea familia nyingi za status tofauti kujikuta sehemu moja
Kwa mfano.. Unakuta bachelor, couple ya mme na mke, Familia Ya watoto wakubwa kiasi.. Na Wengine Familia ya watoto wakubwa kabisa..
Wote hapo mnajikuta kaya moja.. Mwenye Chumba kimoja, viwili, viatu.. Kulingana na mahitaji.
Kuna changamoto nyingi katika kaya za namna hii. Lakin kubwa iliyonileta hapa ni tabia za watu kufanya mapenzi kwa namna ambayo inatia aibu na kuleta fedheha..
Unakuta mtu anapiga kelele sana kiasi kwamba mwisho wa Siku watu mnaangaliana kwa soni.
Mfano hapa nilipo tumepakana na couple moja..ambayo mbibie hupiga kelele Kali.. Zikiambatana na maneno..
"Oooh Ooh huwii.. Hapo hapo.. Nit*mb* beib nit*mb*..ingiza yote.. Mamaa Tamuuuuuuu... "
Sasa hapo umeme hakuna na ndo mapema...familia zingine Zipo mezani kwa ajili ya Chakula.
Cwakatazi watu kupeana utamu ila tuangalie na mazingira yetu yanayotuzunguka hasa kina mama...
Kipindi Nipo chuoni ktka hostel moja iv..
Kulikuwa na couple ya mzungu na mbongo mmoja ambayo wakianza Yale mambo ya kiutu uzima bhas hostel nzima lazima muamke ..sasa ndo ikawa mtindo na videmu vingine ikawa Kama life style ikabidi Tuweke kikao,
Sasa na uswazi kwetu naona hali inakuwa mbaya sana..
NB:Tuangalieni maadili jamani.. Lenye kuweza kuliepuka tuliepuke"
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
16,341
Likes
24,273
Points
280
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
16,341 24,273 280
Ndio maana wapiga chabo wanaongezeka sana uswazi siku hizi.
Ukitaka raha we jenga kwako tu mkuu, hii mambo ya kupanga uswahilini ina changamoto sana, asikwambie mtu
 
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
57,588
Likes
31,145
Points
280
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
57,588 31,145 280
ha haaha muekeni kikao ajirekebishe au mwambie ni mwanume amfumbe mdomo
 
Jurrasic Park

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Messages
3,494
Likes
5,439
Points
280
Jurrasic Park

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2013
3,494 5,439 280
chabo ina raha yake sana kwa vile watu hawaelewagi

maana kuna watu wengine story zao bwana utasikia napiga mzigo dk 120 mtoto mpaka anakimbia. sasa kutana naye live anakipisingili ahhhhh niishie hapa tu
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
12,685
Likes
13,253
Points
280
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
12,685 13,253 280
Sidhani kama huyo mwanamke alitamka hayo maneno

Tuwekee audio clip tuamini.
 
U

ustadhijuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Messages
3,032
Likes
1,787
Points
280
U

ustadhijuma

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2015
3,032 1,787 280
hamna maadili!! Enyi kizazi cha niaje, mzuka, nasanasa na mambo vepeee acheni ushenzi!! nobera novetro Nimutro
 
K

kasamba12

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2016
Messages
342
Likes
248
Points
60
Age
31
K

kasamba12

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2016
342 248 60
Ndio maana wapiga chabo wanaongezeka sana uswazi siku hizi.
Ukitaka raha we jenga kwako tu mkuu, hii mambo ya kupanga uswahilini ina changamoto sana, asikwambie mtu
Nakumbuka Asigwa uliniambia kuwa haya mambo yapo hadi hapo uswazi kwenu, vip tayar wameacha hii tabia mäana najua huwa wanakupa wakati mgum sana
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
16,341
Likes
24,273
Points
280
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
16,341 24,273 280
Nakumbuka Asigwa uliniambia kuwa haya mambo yapo hadi hapo uswazi kwenu, vip tayar wameacha hii tabia mäana najua huwa wanakupa wakati mgum sana
teh teh teh

Hata mimi mkuu ni mpiga chabo mzuri tu aiseeee.
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
5,493
Likes
5,100
Points
280
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
5,493 5,100 280
tulia ww hizo ndo kelele za viwanda.

ukiona hivo ujue uzalishaj mali ndo unafanyika.

TANZANIA ya viwanda.
 
Namge

Namge

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Messages
1,184
Likes
1,197
Points
280
Namge

Namge

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2016
1,184 1,197 280
Ndio maana wapiga chabo wanaongezeka sana uswazi siku hizi.
Ukitaka raha we jenga kwako tu mkuu, hii mambo ya kupanga uswahilini ina changamoto sana, asikwambie mtu
Acha tu Mkuu... Kuchelewa kujenga ni dhahama kubwa Sana Siku hizi.. Watu hawana soni hata kidogo Mkuu
 
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Messages
5,314
Likes
5,402
Points
280
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2016
5,314 5,402 280
Hilo chaka lipo wapi?Hizo sauti wengine tuna matumizi nazo....
 
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
8,963
Likes
364
Points
180
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
8,963 364 180
Siku akipiga kelele m-record kisha uje umtumie sound clip kwenye WhatsApp...
Atahama mtaa mwenyewe.
 
Namge

Namge

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Messages
1,184
Likes
1,197
Points
280
Namge

Namge

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2016
1,184 1,197 280
Siku akipiga kelele m-record kisha uje umtumie sound clip kwenye WhatsApp...
Atahama mtaa mwenyewe.
Hili wazo zur lakini linahitaji uwe una akili kama za mwendawazmu ivi
 
KIBEBA BEBEA

KIBEBA BEBEA

Senior Member
Joined
Nov 8, 2016
Messages
134
Likes
68
Points
45
KIBEBA BEBEA

KIBEBA BEBEA

Senior Member
Joined Nov 8, 2016
134 68 45
Wana JF natumai mu wazima.. Na mnaendelea vyema kulisongesha gurudumu la taifa..

Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja...
Wadungu kutokana na maendeleo ya kijamii na ukuaji wa miji.. Kumeleteleza kuwapo kwa kwa hali ya familia nyingi kuishi maisha ya kupangisha..
Hali inapelekea familia nyingi za status tofauti kujikuta sehemu moja
Kwa mfano.. Unakuta bachelor, couple ya mme na mke, Familia Ya watoto wakubwa kiasi.. Na Wengine Familia ya watoto wakubwa kabisa..
Wote hapo mnajikuta kaya moja.. Mwenye Chumba kimoja, viwili, viatu.. Kulingana na mahitaji.
Kuna changamoto nyingi katika kaya za namna hii. Lakin kubwa iliyonileta hapa ni tabia za watu kufanya mapenzi kwa namna ambayo inatia aibu na kuleta fedheha..
Unakuta mtu anapiga kelele sana kiasi kwamba mwisho wa Siku watu mnaangaliana kwa soni.
Mfano hapa nilipo tumepakana na couple moja..ambayo mbibie hupiga kelele Kali.. Zikiambatana na maneno..
"Oooh Ooh huwii.. Hapo hapo.. Nit*mb* beib nit*mb*..ingiza yote.. Mamaa Tamuuuuuuu... "
Sasa hapo umeme hakuna na ndo mapema...familia zingine Zipo mezani kwa ajili ya Chakula.
Cwakatazi watu kupeana utamu ila tuangalie na mazingira yetu yanayotuzunguka hasa kina mama...
Kipindi Nipo chuoni ktka hostel moja iv..
Kulikuwa na couple ya mzungu na mbongo mmoja ambayo wakianza Yale mambo ya kiutu uzima bhas hostel nzima lazima muamke ..sasa ndo ikawa mtindo na videmu vingine ikawa Kama life style ikabidi Tuweke kikao,
Sasa na uswazi kwetu naona hali inakuwa mbaya sana..
NB:Tuangalieni maadili jamani.. Lenye kuweza kuliepuka tuliepuke"
Wakalisheni chini waelezeni athari za makelele yao.unakuta MTU umekaa na familia na mama mkwe anawaelezea habari za kijijini ndo unasikia......Ahaaaa beb nipeeee...nipee beb ...shusha chini kidogooo,,,,,,sasa halo sijui utaangalianaje na mama mkwe,pambaaavu
 
Forum statistics

Threads 1,274,140
Members 490,601
Posts 30,502,347