Bado wanawake na wanaume bora wanapatikana

Bado wanawake na wanaume bora wanapatikana

Wapo wengi sana, wazuri wa sura na tabia..ukitaka kuona mengi, tembea usiishie tu humuhumu Jf
 
Tupo sema mtu sahihi bado hajatokea
 
Wapo sana.. tu... sema idadi yao ni chache.. na ni ngumu kuwagundua. Lakin ukimwomba Mungu anakuletea ... anae kufaa wewe.
 
Asante mkuu, majibu ni kuwa, siku yangu itakuwa nyepesi sana leo baada ya salamu hizi.
Habari zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii sasa hivi zinadai kuwa huyu jamaa anakunyima usingizi,huli wala hupumui!.....Hizi habari zina ukweli wowote mkuu?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Habari zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii sasa hivi zinadai kuwa huyu jamaa anakunyima usingizi,huli wala hupumui!.....Hizi habari zina ukweli wowote mkuu?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wala si ubuyu, hayo usemayo ndiyo uhalisia.
 
Back
Top Bottom