Duh!!Kata tu!
Kata tu!
Ni msichana ninayempenda sana. Mwaka mmoja umepita amekua akinikataa nisiwe naye katika mahusiano kwa sababu nipo masomi nayeye pia anajua elimu ilivyo amesoma nayeye amemaliza na anafanya kazi. Je, nikate tamaa juu yake?
Soma kwanza, wanawake wapo tu,Lakini ukweli ni kwamba mapenzi hayachagui mwanafunzi au mfanyakazi.Ni msichana ninayempenda sana. Mwaka mmoja umepita amekua akinikataa nisiwe naye katika mahusiano kwa sababu nipo masomi nayeye pia anajua elimu ilivyo amesoma nayeye amemaliza na anafanya kazi. Je, nikate tamaa juu yake?
anaogopwa kuombwa pocket money