Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,976
- 36,078
Kuna jamaa kakosa demu kisa tabia yake ya kula chips yai
Jamaa alikuwa na tabia ya kwenda kula chips yai hiyo sehemu ambayo kuna demu anafanya kazi hapo kwa lengo la kujenga ukaribu na huyo demu ili akitema madini asikataliwe
Basi bwana unaambiwa huyo jamaa kila siku mchana na usiku lazima akale zege hiyo sehemu ili apate wasaa wa kuongea na huyo msichana
Msichana hakuwa na hiana alikuwa anamchangamkia jamaa kwa kuwa ni mteja wao ila jamaa alijua toto lishamuelewa
Sasa bwana siku hiyo alijiroga kutupa karata yake kwa huyo demu aisee alipewa makavu mpaka huruma
Demu alimwambia mshkaji we mwanaume gani kila siku unakula chips yai ,we mwanaume suruali