Maandalizi ya kuishi kwenye ndoa yanatakiwa yaanze mapema


Daudi1

Daudi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Messages
6,601
Points
2,000
Daudi1

Daudi1

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2013
6,601 2,000
Siku hizi ndoa maandalizi yanafanyika wakati wa sherehe tu, wanandoa watarajiwa huwaza namna gani atatokelezea, atakula na kunnywa na hani muni aende wapi huishia hapo tu, lakini huwa hatuwazi maisha baada ya sherehe yatakuwaje au tuyawekeje tuishi kwa mfumo gani, watoto tuwalee kwa mfumo gani hayo huwa hatujiandai nayo, thus why ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu hata kisaikolojia hatujiandaii kwamba naenda kuish na mtu ambaye simjui, nilikuwa nakutana naye mara chache tabia zake sijui 100% hivyo mambo huwa magumu kwetu
 
BJBM

BJBM

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Messages
572
Points
250
BJBM

BJBM

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2011
572 250
Mambo mengine mbele kwa mbele yataeleweka tu.
 
griffin2

griffin2

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Messages
582
Points
1,000
Age
49
griffin2

griffin2

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2015
582 1,000
Kwa kweli ndoa za miaka hii ni za mwendokasi natamani turudi katika zama za jando na unyago ambako mwanamke na mwanaume walikuwa wanaandaliwa kwa maisha ya kindoa zaidi
 
Jurrasic Park

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Messages
3,524
Points
2,000
Jurrasic Park

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2013
3,524 2,000
Tatizo unakuta mtu ashatembeza kitobo kila mahali na anajua utamu wa kachori, kuku, kababu, kachumbari, khalmati alaffu anakutana na sungwi we unategemea nini sasa
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
25,012
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
25,012 2,000
Wanaogopa
 
smileagain

smileagain

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Messages
559
Points
1,000
smileagain

smileagain

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2015
559 1,000
Hasa wanaume....wamepungukiwa sana
 
Born 2 Be Wild

Born 2 Be Wild

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
977
Points
1,000
Age
27
Born 2 Be Wild

Born 2 Be Wild

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
977 1,000
Ukweli
 
smileagain

smileagain

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Messages
559
Points
1,000
smileagain

smileagain

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2015
559 1,000
Wanawake unawaona wako sawa? Hawa ambao wamejiandaa kwenda kushindana na wanaume ndani?
Ila kuna wanaume wana maamuzi magumu khaaa,ukishindana nae hachelewi kuoa mke wa pili
 

Forum statistics

Threads 1,283,912
Members 493,869
Posts 30,805,854
Top