Mr come down
Member
- Dec 5, 2016
- 60
- 30
Kwanza kabisa nianze kwa kuwasalimu ndugu jamaa na marafiki wa JamiiForums.
Kiukweli ilikuwa ni ukakasi kwangu kuingia katika mahusiano lakini kadri muda ulivyokuwa unasonga nilijiona nazinyima haki ya msingi hisia zangu coz zilihitaji kitu kutoka kwenye mahusiano.
Nilitamani nami nijiingize kwenye mahusiano lakini ukakasi unakuja ni yupi wa kuingia nae kwenye mahusiano. Nilijihisi kuwa nimechelewa na hakuna mwanamke sahihi ninae weza kuingia nae kwenye mahusiano.
Swali nililojiuliza yuko wapi atakae nifaa na kunipa amani ya moyo. Bado najiuliza ni bora kuwa single au kuingia kwenye mahusiano.
Naomba mnisaidie kwa ushauri ndugu zangu.
Nawatakieni asubuhi njema.