Nahisi siyo akili yangu

Nahisi siyo akili yangu

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Wakuu habari za sikukuu na long weekend!
kwa kifupi nlishaleta malalamiko mengi kuhusu huyu mwanaume wangu,
tukiwa na maelewano wiki moja ni nyingi sana yan after 2days kupotezeana kugombana for no reason mara tuachane tupotezeane baada ya siku 2 anajirudi ful mahaba niue (UKWELI NAMPENDA TENA SANA)
Ila akiniuz sion shida kumpotezea na yeye anafahamu
nahisi kaniloga maana naapa simuhitaji ila akijirudi najikuta nazidi kumpenda zaidi ya jana
kiufupi ni aina ya mwanaume asiyeeleweka.
NB: hatuna future yoyote
 
U shulf set up ur std of living ur relationshps whoever comply will exist otherwise must perish... Hii itakusaidia kuwafanya wao ndio waadapt lifestyle yako mwanzon kabisa mwa uhusiano hvyo mnaenda hvyohvyo hamna mtu atakusumbua sana
 
Alikudanganya nan kwamba Kila relationship lazima iwe na future nan???? Nyingi Huwa Ni kupumzikiana tuu....

Ushagundua Haina future still you hold on???? We pia huna future

Inaonekana unampenda hvyo hivyo akiwa hasomek somek akibadilika utamwacha.....
 
Alikudanganya nan kwamba Kila relationship lazima iwe na future nan???? Nyingi Huwa Ni kupumzikiana tuu....

Ushagundua Haina future still you hold on???? We pia huna future

Inaonekana unampenda hvyo hivyo akiwa hasomek somek akibadilika utamwacha.....

karibu mbege maana una akili kama mtoto wa mwalimu
 
Kwa hiyo kama hamna future we uko nae kwa malengo yepi??? We nae unajielewa lakini hujui kama unajielewa, ukijielewa utapiga hatua kumtafuta mtu wa kuweka nae mipango ya maisha
 
Inabdi muish hvyo ili mahaba yadumu mkiwa serius nakuhakikishia mtaachana asubh kweupee
 
Kwahiyo una zini nae tu,, na baadae uje kulialia huolewi. Mna hasara ninyi...
 
Back
Top Bottom