amanda cute
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 244
- 452
Tusipoangalia vizuri tunapoteza nguvu kazi kwa kasi ya hawa vijana kuiga mwishowe wanageuka mashoga kwa kuiga utamaduni wa kimarekani.
Hivi kijana mzima hajishughulishi akiamka asubuhi chai kwa mezani mchana kijiweni akija msosi upo kwenye hotpot, akimaliza anashinda JF na mada za kitoto toto tuu na hili wimbi la hawa vijana kujichubua inakuaje? Na kuiga mavazi ya kubana wanaziita modo wanataka wafanane na sisi nini?
Ebu ona wanavyovaa;