Wanawake na kisingizio cha wanalipiza kwa sababu walitendwa


Qunax

Qunax

Senior Member
Joined
Oct 16, 2016
Messages
101
Likes
125
Points
60
Age
29
Qunax

Qunax

Senior Member
Joined Oct 16, 2016
101 125 60
Kumekuwa na desturi ya wanawake na wasichana wengi hasa wa kiafrica siku za hivi karibuni kuwa na tabia ya kusingizia kuumizwa kabla kuwa kama chachu ya kuwapelekea na wao kuwa na moyo mgumu wa usaliti.

Hivyo ukimkuta hata mke aliyeko kwenye ndoa yake anachepuka ukimuhoji atakwambia mimi nlishaumizwa sana huko nyuma hivyo name nachepuka tu.

Ikumbukwe duniani kila mtu kaja peke ake na usimbebeshe mtu midhambi yako wewe kama ni msaliti hesabu tu kwamba usaliti ni tabia yako.

Hiko kisingizio ni fikra potofu sana na ikumbukwe wanawake ndio viumbe wanaaongoza kuingiliwa na mapepo na ndio maana sijawah kuona mwanaume kaanguka kanisani wakati wa maombezi ni wanawake tu.

Hivyo ili kuimarisha ndoa zetu tuzikabidhi kwa Mwenyezi Mungu, maana sababu kubwa ya wanaume kuchepuka ni pale mwanamke anapokumbwa na pepo ataanza kumletea mumewe visa visivyokuwa na moja wala mbili.....

Hakuna mwanaume zuzu ambae atapata mapenzi ya dhati kwa mkewe na akachepuka.

Tabia yako ni tabia yako tu.
 

Forum statistics

Threads 1,274,979
Members 490,865
Posts 30,529,417