Mama yangu ananinyima Uhuru kwenye mitandao ya kijamii

Mama yangu ananinyima Uhuru kwenye mitandao ya kijamii

Abdulazizmomba

Senior Member
Joined
May 9, 2015
Posts
189
Reaction score
35
Habari wanajamvi,
Nilianza kutumia mitandao ya kijamii kama Facebook toka mwaka 2010 mpaka sasa bado naitumia sana. Lakini kinachoninyima Uhuru in Baada ya Mama yangu kujiunga na mitandao hii kama Facebook na Twitter pamoja na instagram.

Yeye ameianza mwaka huu ila kila Mara unakuta ananipigia simu maana yupo mbali kidogo na Mimi ananiambia Mara niwe makini nisije kujiunga FREEMASONS hapa ndo napoanza kukosa hata hamu ya kuitumia hiyo mitandao .

Je ni ugeni tu unampa hofu kama hizo???? Au hataki niwe naitumia??? Au anaambiwa mambo ya uongo kuhusu hii mitandao maana si mwenyeji sana????? Nashindwa kujua dhumuni lake maana hata humo kwenye hiyo mitandao sijawah kuweka POST CATOONS

Wakuu nawasilisha
 
Freemasons ni Idea tu iliyotungwa kama ilivyo concepts ya Vampires au Dragons.

Ni ujinga kuamini idea iliyotungwa tu.

Hakuna cha freemasons.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wazazi wa kike bwana mkuuu me nilimpa mama yangu smartphone Na nikamfungulia fb account Na WhatsApp pamoja Na Instagram nilijutaa ukiaplod picha anakoment mh, napita, itoe mbaya ohoooo nikaona isiweshida nikamblock atulie
 
Mkuu apo sina namna itabidi in mblock tuu kama
Mchangiaji mmja alivosema social network ni kwa friends
 
Baba yangu alisema aNatamani malaika ashuke aizime mitandao YOTE
 
Back
Top Bottom