Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,204
Haina impact kwenye relation yetu japo inanitesa kiakili, sipendi aendelee na utumiaji wa Marijuana. Anadai ni sigara kama zilivyo sigara nyingine.
Apendi nikiwa nae niizungumzie Ganja, anadai kama nakereka nitafute manzi mwingine japo wakuu huyu mtoto mi mwenyewe ningekewa tu kumpata, so sipendi nimtibue, napewaga papuchi bila gharama yeyote, ananidhamu ya hali ya juu sana. Natamani kuzaa nae.
Kinachonikera ni pale ye anavuta ila mi situmii, yani nakuwa kama mimi ndio msichana sasa, eti naogopa ganja. Wakuu msichana kutumia sigara kubwa/weed/Ganga/Mjani ni kawaida au tatizo?
Je nifanyaje ili aache.