Haniamini kama Nimemsamehe.

Siddy22

Senior Member
Oct 12, 2016
104
225
Sometime kuna kosa mtu anaweza kukufanyia likakutesa na kuamua kuchukua maamuzi magumu kutokana na hasira ulizonazo kwa wakati huo ila ukikaa chini na kufkiria upya unaamua kuutua mzigo na kutoa msamaha wa dhati lakin hali ni tofauti kwa anaesamehewa anaonekana kutokuwa na imani ya kusamehewa.
 
Sakayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
56,544
2,000
Yaani hamna adhabu kubwa kama kumsamehe mkosaji. Hawezi kuwa na amani kabisa, muda wote anawaza labda kuna mpango unafanya lakini ungemlamba kelebu mbili aaaah angeona kweli umemsamehe maana hasira itapungua.
Kwa hiyo ni ngumu sana kuamini kama umemsamehe na hilo pia lamuumiza sana
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,689
2,000
Achana naye anzisha mahusiano MAPYA wewe na binti mpya asiye jua mengi umfunze mengi ya faragha
 
Siddy22

Senior Member
Oct 12, 2016
104
225
Yaani hamna adhabu kubwa kama kumsamehe mkosaji. Hawezi kuwa na amani kabisa, muda wote anawaza labda kuna mpango unafanya lakini ungemlamba kelebu mbili aaaah angeona kweli umemsamehe maana hasira itapungua.
Kwa hiyo ni ngumu sana kuamini kama umemsamehe na hilo pia lamuumiza sana
Wanawake haweleweki mkuu unaweza kumpiga ukasababisha tatizo jipya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom