Kitendo Cha Kumsaliti Mkeo

Kitendo Cha Kumsaliti Mkeo

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,271
Reaction score
29,937
Kumsaliti mkeo haimaanishi humpendi! Hii ni kama kukodi taksi na wakati una gari yako nyumbani.

Hii inakusaidia kuokoa mataili yasiharibike haraka na hata gari lionekane halijatembea umbali mrefu

[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umetsha asee
 
Vivo hivo kumsaliti mume sio kuwa humpendi, kuku mtamu ila kuna siku unamiss mchicha
[HASHTAG]#usinikasirikiemie[/HASHTAG]
Kwakweli mwanaume mmoja tuuu anakinaisha jamani, wawe tu waelewa.
#siomimininature#
 
Spending kuzisikia hizi habari za kusalitiana huwa zinanipa hofu naanza kuwa na wasiwasi na huyu niliyenaye
 
Back
Top Bottom