Tabia za wadada kusema wewe sio wa type yangu huwatokea puani

Tabia za wadada kusema wewe sio wa type yangu huwatokea puani

nanga mstafu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
381
Reaction score
649
Utakuta mkaka wa watu anakufuata ana nia nzuri akuoe ila unampandisha unamshusha mwishoni unaanza kusema wewe sio saizi yangu unangoja wa size yako anakuja kukukojolea tu hakuoi, unapoona umri unakutupa mkono unaanza kwenda kanisani kukesha upate Mme, hapa mchawi ni wewe mwenyewe, punguzeni nyodo muda nwingine
 
Utakuta mkaka wa watu anakufuata ana nia nzuri akuoe ila unampandisha unamshusha mwishoni unaanza kusema wewe sio saizi yangu unangoja wa size yako anakuja kukukojolea tu hakuoi, unapoona umri unakutupa mkono unaanza kwenda kanisani kukesha upate Mme, hapa mchwi ni wewe mwenyewe, punguzeni nyodo mda nwingine
Ha ha mkuu yamekukuta wewe sio bure
 
Tena mwengine alishakupa hiyo papuchi umeitimbwiza vya kutosha, akipata mwengine a nakwambia yey c wa type yako, [HASHTAG]#mbona[/HASHTAG] papuchi ulinipa sasa, au type ya nn jaman
 
Me cjuh nina mkosi mbona sijawah ambiwa hvo..... Na ninataman kweli niambiwe hivo ili nimprovie kwamba kweli mimi sio wa taipu yake
 
Utakuta mkaka wa watu anakufuata ana nia nzuri akuoe ila unampandisha unamshusha mwishoni unaanza kusema wewe sio saizi yangu unangoja wa size yako anakuja kukukojolea tu hakuoi, unapoona umri unakutupa mkono unaanza kwenda kanisani kukesha upate Mme, hapa mchawi ni wewe mwenyewe, punguzeni nyodo muda nwingine

Who needs a broke guy [emoji57][emoji57][emoji57]. Hebu katafute hela kwanza uone utakavyochangamkiwa.
 
Jamani khaa mtuache tupumue kila uzi unaanzishwa humu ni kusema wadad tu kwa niaba ya wadad wote wa jf jamani mtuache khaaaa[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Inatakiwa mbadilike muachane na hizi tabia mbayaaa
 
Umenigusa...kuna kabinti kafupiiii nikakatupia nafaka za mahindi kakaanza ooh mm napenda wanaume warefu...sa nikimtizama yy mfupi nkamuuliza...kwa hyo mm mfupi?...kaanza ooh ww siyo mrefu wala siyo mfupi...sikumuelewa nkamfuta pale pale!

Wanaboa hao alafu ukiona ana discuss urefu Na ufupi ujue kafumuliwa vibaya alafu Kesha kariri
 
Unikome punguani wew wanijua mim na hayo ndo majibu saizi yako mfyiuuuuuuuuuuu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] hela huna kwa nin usiambiwe sio type yako [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Kwahiyo we unataka mwanaume nwenye pesa tayari utaishia kuumia tu...kila kwenye mafanikio ya mwanaume nyuma kuna mwanamke so inabidi uanzenae kwenye 0_100
 
Kwahiyo we unataka mwanaume nwenye pesa tayari utaishia kuumia tu...kila kwenye mafanikio ya mwanaume nyuma kuna mwanamke so inabidi uanzenae kwenye 0_100
NA siwezi kuumia mm mwenyewe najimudu so sitegemei mwanaume ila ni majukumu yake kunipa pesa upoo[emoji108] [emoji108]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom