Qunax
Senior Member
- Oct 16, 2016
- 100
- 127
85 ya wanawake/wasichana wa kizazi cha kileo wanaingia katika mahusiano kwa lengo la mwanaume aliempata awe ni tegemeo lake kiuchumi.Huku wanaimba who run the world "girls" "girls"......you run the world or world runs you?????Hali hii inapelekea 85 ya wanaume/wavulana wa kizazi cha kileo kuingia katika mahusiano kwa tamanio la kingono.