Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sijui ni kwa nini wanawake wanapenda hii tabia: 1. Kumuomba mwanaume ambaye mmefamiana kwa muda mfupi recharge card: Hii ni mbaya sana. Inamfanya mwanamke aonekane mrahisi sana. Mwanamke umeonana...
11 Reactions
58 Replies
11K Views
Kabinti kangu ka miaka mitano (05) kameniuliza maswali yafuatayo:- * Baba kwanini mapaja yetu ni makubwa kuliko miguu, wakati miguu ndio inayobeba mwili wote? *Na juzi kati aliniuliza, "kwanini...
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Zamani kidogo kabla hii mitandao haijashika kasi ilikuwa ngumu sana kujua Birthday ya Bidada... .. Ilikuwa kukumbuka birthday Yake na kumletea kazawadi ni njia ya kuonesha unamjali, unampenda...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Ni muda mrefu jamii hasa akina baba wamekuwa wakiimizwa kushiriki Afya ya uzazi kwa maelezo kuwa akina baba wanaposhiriki kikamilifu husaidia kupunguza vifo vinavyotokana na matatizo ya uzazi...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Wife anahitajika
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Umri wangu nini miaka 40. Elimu:chuo. Anatafutwa mke Umri kuanzia 30-40. Mwenye chini ya Umri huo asitume maombi. Sitaki kuwa na mwanamke tegemezi. Awe na kipato kisichopungua 3m kwa mwezi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni jitiahad zipi zilikufanya kumshawishi mwajiri wako kuweza kukupandisha cheo?
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Nakumbuka ile mechi ya Yanga na Simba lile goli la tambwe lilivyouzi watu hii ni kutokana na kuwa mpira unachezwa kwa miguu iweje goli lile lifungwe kwa mkono? Tukija kwenye uwanja wa malove...
10 Reactions
105 Replies
14K Views
Mimi ni kjana wa umri wa miaka 24 tatzo lnalonisibu nashikwa na hisia za mapenzi kila sikuu yaaan nataman nidooo kla sikuuu na sku nyngne nikikosa kudoo naangalia muvi za kikubwa napiga puli basi...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu hebu fungukeni tujue ni kipi adimu...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Jana mida ya jioni nilikuwa nikisikiliza kipindi maarufu kinachozungumzia majanga yaliyowahi kuwapata watu katika redio E fm. Msimuliaji alisema akiwa na familia yake walitekwa na majambazi...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Wana JF hebu changieni kila mtu aeleze anajuaje kwamba mpenzi wake anampenda kweli toka rohoni? Nasubiri michango yenu.
0 Reactions
28 Replies
11K Views
Nataka kuowa mwanamke Bikira wa miaka 20 . Umri wangu ni miaka 45 , Muislamu graduated from applied mathematics dep. nafanya kazi nabiashara.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Viwango vya wanawake kuweza kupata mimba nchini Tanzania vimepungua hadi 5.2 kwa kila mwanamke nchini Tanzania mwaka 2015/2016 kutoka 6.2 kwa kila mwanamke miaka ya 1991/92, kulingana na utafiti...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ewe kijana tumia ujana wako kutafta mtu atakae kupenda kwenye uzee wako. Usipokuwa makini utaishia. Kupata ndoa ya RADI inamulika anga zima afu inapotea
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Orodhesha apa ni vitu gani ambavyo wanawake wanavikosa kwa wanaume wa miaka ya sasa. Mimi naanza 1. MAPENZI YA KWELI 2. KUJALIWA
0 Reactions
20 Replies
3K Views
kigezo: awe mtu mzima kuanzia kuanzia miaka 26+ awe dar.. mimi nna miaka 24, mrefu kdgo maji ya kunde AWE MPENZI MPENZI WANGU ASANTE
0 Reactions
19 Replies
2K Views
1-kuhifadhia matunda kwenye jokofu-kama kuna matunda kama ndizi hayapatani na ubichi ubichi, valisha kondom kisha weka kwenye jokofu litaendelea kubaki na ubora wake 2-Kutumia kama rubber band-...
3 Reactions
14 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…