Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimebahatika kuoa mke tukabahatika kupata watoto wawili mapacha wa kike na wakiume tunamiaka 10 ndani ya ndoa tatizo linalonisibu niliyumba katika biashara zangu kwakua Mimi nidalali wakuuza...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna mademu juzi wamehamia hapa karibu na nyumbani wazuri vibaya mno nilivyowaona tu nikasema lazima nimtongoze mmoja Leo nimetoka zangu kanisani sijaamini macho yangu nimewakuta wale mademu...
8 Reactions
70 Replies
7K Views
Nimefikia hatua za awali za kuasili mtoto, naombeni ushauri nichukue kachanga kabisa au wa kuanza shule at least 3yrs? Pili nichukue ka kike au ka kiume? Napenda ka kiume ila nikikumbuka maswaibu...
3 Reactions
200 Replies
13K Views
Kuna wakati hutokea wanawake wakateswa sana kwenye uhusiano wao wa kindoa au kimapenzi na bado wakaendelea kukaa tu kwenye uhusiano huo. Inafikia hadi mtu anakufa huku akiona kabisa. Watu wengine...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini! Juzi nilikuwa niko na mpenzi wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa sita. Katika kupiga stori nikawa namuonya juu ya jambo fulani.du mwanamke saa ngapi asianze kkumbushia eti...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Imekuwa ni kero kwa hawa dada zetu siku hizi.wamekuwa kama maombaomba wa kutegemea pesa kwa wanaume.haijulikani yupi muuzaji na yupi si muuzaji,wote wanapenda hela na si mapenzi ya...
19 Reactions
98 Replies
11K Views
Hello, First of all, I'm yet 2 be successful (according to my standards). My story IPO hivi Sahiv nasoma chuo abroad (nje ya Africa), lakini kabla ya hapa nlikuwa na soma chuo bongo, chuoni...
5 Reactions
65 Replies
7K Views
Jinsi ya kumpatia mwanamke ujauzito cku zinanichanganya ushauri plzzzzz wananzengo
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanasayansi wameprove kwamba kama mtu hajaathirika na kilevi chochote kama pombe,sigara,madawa ya kulevya basi kuna uwezekano mkubwa akawa ameathirika na kuangalia picha za ngono mtandaoni
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Mpaka miaka ya hivi karibuni mambo ya uchumba yalikuwa hayawezi kufanyika bila ya kuwepo wazazi na familia. Mitoko mingi na kualikana ilifanyika majumbani wakiwapo wanafamilia wote. Kujitokeza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Asikuambie mtu presha ya mwanaume yoyote ipo pale anapojua kuna mbaya wake anataka kufaidi ile raha anayoipata yeye naumia kila niwapo faragha na mpenzi wangu nikiwaza vitu hadimu anavyonipa bila...
1 Reactions
75 Replies
13K Views
LEO HAPA BHANA HAKUNA NINA'EMCHANA, LAKINI KUNA KITU NIMEFIKIRIA SANA- KWA KUWA NI CHA MAANA LAZIMA NISHEE NA WANA, MAANA'KE NIMEFIKIRI KWA KINA NA MAPANA- KUNA WATU WENGI SANA WENYE MITINDO...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
" Nilisia hapo kale ilinenwa usizini lakini mimi nawaambieni yeyote atakaye mtazama mwanamke kwa kumtamani amekwisha zini naye rohoni." Upo kitaa mtoto mkali akikatiza huku nyuma ataacha majanga...
1 Reactions
1 Replies
956 Views
asalamu wana jf .. kuna shekh wangu huwa anapenda sana kuniomba ushauri juzi tulikuwa tunapiga story akaniambia"" mgosi unajua mm nina matatizo yaan msichana au mwanamke akiniita kwa jina...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Kuna vitu nilinotice kwa mke wangu tangia wachumba,nikajua nitamsaidia mpaka abidilike,mmojawapo ni MTU wa kukaa na vitu moyoni sana,siyo mwongeaji kwa mfano kuna kipindi niliropoka kuwa baba mkwe...
8 Reactions
131 Replies
13K Views
Naandika mkasa huu nikiwa na huzuni nyingi. Kitu kilichonitokea mwenzenu katika kipindi cha miezi minane iliyopita, nisingependa kimtokee hata adui yangu mkubwa kuliko wote. Huenda kwa baadhi...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Siku yangu leo haikuwa nzuri hata kidogo. Nimeshinda tu nakumbumbuka nyuma nilikotoka, nikajikuta naangua machozi siku nzima. Miaka 15 sasa tangu nibaki mwemyewe na ndugu, hakuna mama wala baba...
30 Reactions
50 Replies
5K Views
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, Unaweza kuta mtu amekupenda sana afu wewe unakuwa huna time naye,,, pia sometimes unaweza kuta umependwa sana na mtu afu wewe hujali hilo, Vip ikitokea...
1 Reactions
21 Replies
11K Views
Eti kweli wanaume wnye white hair wako mature halafu wana akili kulko wanauame wasiokua na white hair hata kama akiwa mdogo?
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Sikukuu hii nilienda mkoa mmoja wa pembezoni. Hotel niliyofikia INA ukumbi mkubwa, wakaandaa disco Toto. Watoto wa kike na wa kiume age kati ya 12 years hadi 18 wanakunywa soda wanachanganya na...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…