Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Aina 10 za waume ambao wake zao wanakereka kuwa nao MUUNGWANA BLOG / 9 hours ago  1. Wanaojiona Kama Wafalme (King Husband). HIi ni aina ya wanaume ambao hutaka kusujudiwa kama wafalme na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Haya! Kuna msemo unasema: ......."Ukimwona mwanaume amefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke mwenye busara".... Je? Ni kweli? Msaada wa huyu mwanamke ni upi?
2 Reactions
29 Replies
9K Views
Hii imemtokea bishost mmoja wamelala na mumewe kitandani mume hana habari naye yeye yu bize tu kuchat na mchepuko wake Hivi wanaume kwanini wengine hawajielewi? Ukafanye hayo mbele ya mke wako,wa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Hiyo app itawasaidia waliopo kwenye mahusiano kuepuka mimba zisizotarajiwa. app inapatikana playstore kwa link hiyo BeSAFE - Android Apps on Google Play
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimefanya sampling research ya familia kadhaa ya watoto wa kike vs wa kiume au wote. Ukweli ni kuwa wanawake wanajitolea zaidi forget about how much, ila wanajitolea mara nyingi zaidi kuliko wa...
5 Reactions
64 Replies
5K Views
LIFE BEGINS AT 40! So how old are you? Huo ni msemo wanao waingereza. Today is your future kwa taarifa yako.. Ulipokuwa mdogo ulisema nikiwa mkubwa nitakuwa na gari na nyumba nzuri wazazi wangu...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Jamani kama una mpenzi wako anakaa ameweka toothpick mdomoni, jaribu kumuelimisha kuwa sio ustaharabu kabisa ni uchafu. Inabidi asafishe meno yake kisha atupe sio unamkuta mtu anaongea na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
mpooooooooooooooooooo wadau Mmmeshindaje jamani, natumai mko vyema, pole kwa wale wanaoumwa au wako hovyo Ni mara ingine MAMA PAROKO kama kawaaaa naingia tena mjengoni TENA leo nawafunda WANAUME...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Asanteni Jf founder kwa kunikutanisha with woman i have been dreaming to be with. A woman who knows how to put down her education level, her family wealth, her job title, her beautness, her level...
5 Reactions
83 Replies
6K Views
Kwa kuwa kila kukicha kwenye vyombo vya habari tunasikiaga mara mkoa fulani mwanamke kamuua mwanae kwa eidha kumpiga na kitu kizito au kamuua mwanae kiushirikina au kichanga kimeokotwa kwenye...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Usibadilike TEMPORARILY kwasababu unataka uonekane wife/husband material ili umu-impress mtu halafu mkifika ndani unarudia rangi-rangi zako zilezile ambazo ndio NATURAL YOU. Muache akupende kwa...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wanajf: Naombeni uelewa ktk hili:- Nimekua na mahusiano na msichana mmoja wa kichaga tangu November 2015 tukiwa first year UDOM. Nimekuwa 'nikifanya' nae mara kadhaa ila...
0 Reactions
96 Replies
9K Views
Je ni dalili gani zaweza kukufanya mtu kujua kuwa una jini mahaba
0 Reactions
3 Replies
10K Views
I am a christian young man in my late twenties. I am looking for a girlfriend with future aims in life if everything goes well with us. Minimum education: diploma Age: at least 24 and no more...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI: 1. Tamaa ya utajiri Fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza...
20 Reactions
166 Replies
16K Views
heshima kwenu wakuu.. tukijikita katika...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mpende mke wako mzuri Usimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae. Inamuumiza sana. Mithali 15:1 Usimuongelee ubaya kwa mtu yeyote. Mke wako atakua kile ambacho unamuita Mwanzo 2:19 Usimpe mwanamke...
8 Reactions
48 Replies
4K Views
Msimu huu idadi ya wanawake wajawazito ni kubwa sana kupita hata vipindi vyote vya nyuma. Kila mwanamke naopishana nao barabarani kati ya 20 lazima awepo mwenye ujauzito mmoja au watatu. Hata...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…