wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,973
- 27,209
Kwa kuwa kila kukicha kwenye vyombo vya habari tunasikiaga mara mkoa fulani mwanamke kamuua mwanae kwa eidha kumpiga na kitu kizito au kamuua mwanae kiushirikina au kichanga kimeokotwa kwenye mfuko wa rambo na mara ingine utasikia taarifa ya habari ikitangaza!!
Jeshi la polisi linamshikilia mwanamke mmoja kwa kumtesa mtoto wa kambo! Ni mara chache sana utasikia wanaume kwenye matukio kama hayo!!sasa hapo nawauliza kati ya wanawake na wanaume.
Je, nani mwenye roho mbaya na kumu ya kufanya maaumuzi magumu?