shonkoso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 671
- 1,427
Nimefanya sampling research ya familia kadhaa ya watoto wa kike vs wa kiume au wote. Ukweli ni kuwa wanawake wanajitolea zaidi forget about how much, ila wanajitolea mara nyingi zaidi kuliko wa kiume.
Kwa hiyo wale wazazi wa watoto wa kike jitahidi kuwekeza kwa watoto wako wote ila kaa ukijua kuwa mtoto wa kike atakusaidia zaidi.
Mimi ni mwanaume, nimeona pia the way dada zangu wanavyosaidia familia yetu kuliko akina kaka wenye mishahara mikubwa.
========
Tazama mjadala wa hoja hii ulivyosomwa ktk Jamii Leo