App hii itawasaidia waliopo kwenye mahusiano kuepuka mimba zisizotarajiwa

bcs56897

Member
Jan 16, 2017
14
4
Hiyo app itawasaidia waliopo kwenye mahusiano kuepuka mimba zisizotarajiwa.
app inapatikana playstore kwa link hiyo
BeSAFE - Android Apps on Google Play
2ef89e27581cd2f64732dedec4203223.jpg
 
Sasa siwangesema hz rangi zinawakilisha nn? mfano red nijuavyo mm ndo bleed bt rangi nyekundu imeapia sana imezid cku za kubleed so celewi inamanisha nn?and hz rangi nyingine zinamanisha nn?
App zenyewe zinakuwaga na maelezo ya hizo rangi, kwahiyo ukishaipakua itakuelekeza namna ya kuset then utachagua rangi utakazo ziwakilishe nini.
 
Ingia settings za app husika utakutana na ukitakacho, unless basi hiyo app ni tofauti na nilizozizoea.
Kwa mahitaji ya gadget za uhakika,unaweza kuja pm,ninazo aina tatu,the best ni ile ambayo unasogeza gadget half inch nside,hapo inakuonesha reading einther ni safe ku do,or not safe to do,inasoma hormones za kike.
 
Sasa siwangesema hz rangi zinawakilisha nn? mfano red nijuavyo mm ndo bleed bt rangi nyekundu imeapia sana imezid cku za kubleed so celewi inamanisha nn?and hz rangi nyingine zinamanisha nn?
ok rangi nyekundu saana hapo ni wakati wa bleedings,njano inamaanisha upo salama ila sio asilimia zote kitalaamu 60%,red ndo siku za hatari yaani siku hizo mwanamke hupata ujauzito na green inamaanisha salama mwanamke siku hizo hapati ujauzito, na siku za mwanzo hizo kitalaamu ni kwanba unaweza kumaliza bleeding ila hauko safe angalau siku saba zipite..ukigusa kwenye tarehe yoyote ile app itaonesha status
 
Rekebisha heading isomeke 'Itawasaidia walioko kwenye ndoa sio walioko kwenye mahusiano'.
 
Rekebisha heading isomeke 'Itawasaidia walioko kwenye ndoa sio walioko kwenye mahusiano'.
tatizo si heading,tatizo ni mimba zisizotarajiwa,awe kwenye ndoa ama hajaolewa,hiyo app ipo kumsaidia mwanamke kujua hali yake.
 
Back
Top Bottom