Mada ya Leo; Ukimwona mwanaume amefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke mwenye busara

Msemo huo ni wa kweli asilimia nyingi
Mchango wake ni
Kukupa moyo unapopitia changamoto mbalimbali
Kuangalia familia pindi uwapo kwenye majukumu
Kuhakikisha Nyumba kuwa kwenye mazingira mazuri
Kukushauri n.k
Michango yao inatofautiana kutoka familia moja hadi nyingine japo kuna mengine yanafanana.
 
kumshauri
kumliwaza apitiapo matatizo
ujue genye nalo ni tatizo kwahiyo Kama usingekuepo kumpa papuchi angekua anahangaika ,mawazo mara2
awaze maisha ,hapo hapo awaze kusumbuliwa na mwanammke kicheche!

kwahiyo akipata mwanammke alietuliza akili, mtulivu,mshauri mzuri ,unamjali ,unamheshimu, unampenda kweli!
lazima afanikiwe.....
 
nilikuwa siamini huu msemo ila kwa sasa nimeuamini
kuna jamaa ni engineer analipwa m 3 kwa mwezi
ana mtoto mmoja na mke
nyumba anayoishi analipa laki nane maana wife hataki kuishi uswazi au nyumba za ovyo
mtoto anasoma english medium ya hatari
nyumbani hyo mama hata kufua hafui kuna mfanyakazi wa siku kila siku analipwa buku kumi .huyo dada hafanyi chochote ni mitandao ,tv na pombe.
hata nguo kwenye kamba hatoi.
shoping ya huyu mama na saluni yake kwa mwezi hata m inaisha .jamaa ana watoto 3 kwao wanasoma .ukimcheki hana tofauti na ombaomba yaani hana akiba hana future yupo tu.
sinaga huruma na wanaume ila huyu jamaa namuonea huruma sana .
 
ha ha ha ila inasikitisha sana shida sio mwanamke ni huyo mwanaume ni zuzu ndio maaana usitegemee ukawa zuzu eti mke smart atakutoa na ukipata mwanamke zuzu mwenzio ndio .......Mwafaaa
 
Haya!
Kuna msemo unasema:

......."Ukimwona mwanaume amefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke mwenye busara"....

Je? Ni kweli?
Msaada wa huyu mwanamke ni upi?
Yes ni kweli. Mama yangu ana mchango mkubwa sana kwenye mafanikio yangu.
 
kumshauri
kumliwaza apitiapo matatizo
ujue genye nalo ni tatizo kwahiyo Kama usingekuepo kumpa papuchi angekua anahangaika ,mawazo mara2
awaze maisha ,hapo hapo awaze kusumbuliwa na mwanammke kicheche!

kwahiyo akipata mwanammke alietuliza akili, mtulivu,mshauri mzuri ,unamjali ,unamheshimu, unampenda kweli!
lazima afanikiwe.....
VP WAKO AMEFANIKIWA ?
 
Back
Top Bottom