Kipindi hiki idadi ya wanawake wajawazito ni kubwa sana

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
7,763
16,975
Msimu huu idadi ya wanawake wajawazito ni kubwa sana kupita hata vipindi vyote vya nyuma. Kila mwanamke naopishana nao barabarani kati ya 20 lazima awepo mwenye ujauzito mmoja au watatu.

Hata humu JF wapo member ambao ni mashemeji zetu ambao wake zao ni wajawazito. Ni ishara kuwa maisha siyo magumu au tunaendana na ile kauli ya mtukufu kuwa watu wafyatue watoto atawasomesha bure.
 
Msimu huu idadi ya wanawake wajawazito ni kubwa sana kupita hata vipindi vyote vya nyuma

Kila mwanamke naopishana nao barabarani kati ya 20 lazma awepo mwenye ujauzito mmoja au watatu

Hata humu jf wapo member ambao ni mashemeji zetu ambao wake zao ni wajawazito

Ni ishara kuwa maisha siyo magumu au tunaendana na ile kauli ya mtukufu kuwa watu wafyatue watoto atawasomesha bure
No money to spend!hiyo ndiyo starehe iliyobaki.
 
Aisee,hiyo ni kweli kabisa.Mi nadhani watu kutokuwa na kazi kuna sababisha wakae waki...........na tu.
 
Watu wanawah kurud job kuungana na familia, wasio na job hutumia kamchezo pendwa kujifarij. Yote haya sabab hali n ngumu
 
Hakuna janjajanja kwenda bar siku hizi mtu akitoka job anarudi nyumbani kucheza draft on bed....what do you expect????
 
12c2bbd58e170bc44d3bb5cefda9b2d4.jpg
 
Rais kasema tufyatue, acha tuzidi kuzaliana tu maana hakuna namna. Ht mie mwakani ntabeba mimba teh!
 
Back
Top Bottom