Tabia ya kunin'giniza 'toothpick' mdomoni ni uchafu

Tabia ya kunin'giniza 'toothpick' mdomoni ni uchafu

bishontongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
239
Reaction score
223
Jamani kama una mpenzi wako anakaa ameweka toothpick mdomoni, jaribu kumuelimisha kuwa sio ustaharabu kabisa ni uchafu.

Inabidi asafishe meno yake kisha atupe sio unamkuta mtu anaongea na toothpick imeninginia mdomoni au anapiga picha sio jambo jema ni jambo la uchafu tuelimishane labda mana sio siri inatia kichefuchefu.

Mie ata mtu akiniongelesha na toothpick mdomoni uwa na mwambia toa, kiheshima chukua leso funika kimywa kisha safisha na utupe kukaa na toothpick na kukata mitaa au ndani ya daladala kweli si jambo jema.
 
SIACHI.

Ni bora niache kula chakula kabisa kuliko kuacha toothpick yangu mdomoni

Hivi unajua gharama ya toothpick wewe?

Acha kuongelea toothpick kama kitu cha kawaida.

Mheshimu sana mtu anayediriki kununua toothpick
 
Sina bahati mbaya ya kukutana na watu wa aina hiyo
 
Zipo specila za kuweka mdomoni, zingine ziko na rangi kama dhahabu ivi
 
Zipo specila za kuweka mdomoni, zingine ziko na rangi kama dhahabu ivi...
 
Kama hivyo.
3d3bc042a66ead840c3fef54ff4bfdf0.jpg
 
Jamani kama una mpenzi wako anakaa ameweka toothpick mdomoni, jaribu kumuelimisha kuwa sio ustaharabu kabisa ni uchafu.

Inabidi asafishe meno yake kisha atupe sio unamkuta mtu anaongea na toothpick imeninginia mdomoni au anapiga picha sio jambo jema ni jambo la uchafu tuelimishane labda mana sio siri inatia kichefuchefu.

Mie ata mtu akiniongelesha na toothpick mdomoni uwa na mwambia toa, kiheshima chukua leso funika kimywa kisha safisha na utupe kukaa na toothpick na kukata mitaa au ndani ya daladala kweli si jambo jema.


Bado safari ni ndefu sana mkuu

mimi huwa nachefuka sana kumwona mtu akiswaki..... na hapo hapo anakuongelesha kwa kweli huwa simwelewi kabisa ni uchafu uliopitiliza...

una chumba master.... bado nakuona ukiswaki huku umening'inia kwenye fence sijui tutaeleimika lini.

Wakati wa kuoga ndio wakati wa kuswaki jamani sio unaswaki then unaingia bafuni kuoga
 
Mh Temba anarecodi nayo video na watu kubao wanaangalia na hawasemi chochote
 
This is Africa! Kama mtu anaenda dukani na mswaki mdomoni mipovu hiyooo, ndiyo umwambie azibe mdomo wakati wa kujichokonoa na toothpick??? Utapewa kauli moja tuu hadi utasema asante!
 
Back
Top Bottom