Jini mahaba

bway hermit

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
1,330
2,331
Je ni dalili gani zaweza kukufanya mtu kujua kuwa una jini mahaba
156daba3b49f2fa5fb5b1b7a4728062d.jpg
 
Je ni dalili gani zaweza kukufanya mtu kujua kuwa una jini mahaba
156daba3b49f2fa5fb5b1b7a4728062d.jpg
Dalili ya mtu mwenye jini mahaba na pepo mchafu hizi hapa chini.

1.kuna kujitambua kuwa una majini kwa njia mbalimbali.kujitambua kwa njia ya ndoto na ya dhahiri.


2.dalili za dhahili.

a.kizunguzungu.

b.vitu kutembea tumboni.

c.vicheza mwilini.3

d.kichwa kuuma mara kwa mara.

e.kuhisi mtu anatembea nyuma yako.

f.kupiga mihayo sana.

g.macho kukosa aibu.

h.hasira za mara kwa mara.

i.kupoteza kumbukumbu.

j.ugomvi wa mara kwa mara.

k.maradhi ya kujibadilisha badilisha.

l.kuhisi baridi mara kwa mara.

m.kutojisikia kuongea hasa wakati unapossemeshwa na mtu unaona kama

anakusumbua.

n.masiko kupiga kelele.

o. Kuhisi vitu vinaongea masikioni.

p.kupoteza hela mara kwa mara kwa njia ya kutatanisha.

q.kuharibikiwa na vitu hasa vya moto.

r.matatizo ya hedhi kufungika au kutoka kwa wingi au kukosa kabisa.

s.kufungika kwa kizazi.

t kustuka stuka

u.moyo kuongoka sawa na mtu mwenye presha.

v.kupungukiwa damu na kukonda au kuishiwa maji mwilini.

w.kupungukiwa nguvu za kiume au za kike.

x.kusikia uchungu wakati wa tendo la ndoa au unapomaliza.

y. Kuhisi kichefuchefu unapomaliza tendo la ndoa.

z.kuhisi manukato au harufu mbaya.

aa.kukosa hamu ya kula au kubagua chakula.

bb.mimba kupotelea tumboni.

cc. Kuhisi watu wanakusemesha na hauwaoni.

dd.kifafa.

ee.kichaa.

ff.pia majini humsababisha mwanamke kuwa mkali wakati anapoombwa

tendo la ndoa.


3.dalili katika ndoto.

a.ndoto za kufukuzwa na wanyama wakali.

b.ndoto za kuota unajifungua.

c. Kuota unapigwa.

d.ndoto za kuogelea.

e. Ndoto za kupaa.

f.ndoto za kuota umepandishiwa jini.

g. Ndoto za kuota umeoa au umeolewa.

h.kuota umevalishwa pete au mkufu.

i.kuota unapigana.

j.kuota unapiga kelele.

k.kuota moto mkubwa.

l. Kuota unazika.

m.kuota umekufa.

n.kuota unafukua kabuli.

o.kuota sherehe mara kwa mara.

p.kuota unaongea na watu waliokufa.

z.kuota unaona visuguu.

aa.kuota unaona mafuvu wa watu.

bb.kuota unapiga ramli.

cc.kuota unavaa bangili au shanga.

dd.kuota watu wanachunga ng,ombe.

ee.kuota watu wamevaa nguo nyeupe..

ff.kuota unakabidhiwa mkuki,fimbo,mundu,mbuzi,kondoo,ng,ombe

na kitambaa cheupe.

gg.kuota vijumba vya mizimu.

hh.kuota vibuyu.

ii.kuota unakunywa au unanyeshwa damu.

kk.kuota watu wamevaa kanzu .

hizi ni dalili za majini kwa njia za ndotoni japo zipo nyingi ila nawatajia hizi hapa

kwa ufupi .na pia namuomba mwenyezi mungu aendelee kunipa fahamu ili niendelee

kuwaelimisha na kuwafundisha mambo mengi ya kuwatambua majini kwa njia za

njozi pia kwa njia za dhahili.watu wengi wanasumbuka na mashetani ,mizimu,majini,

maiti lakini hawajitambui sasa nahitaji kuwapa elimu ili muweze kufaidika nazo.

na pia nawafundisha dawa kwa ajili ya huduma ya kwanza.asante yenu

itanisababisha kazi yangu kusonga mbele hii ni moja ya sadaka.

kwa sasa majini ndio wanaongoza kwa kuwatesa watu ,na kuwatia nuksi,nakuwafilisi ,pia na kuvunja ndoa za watu.

MATIBABU Wasiliana na Mimi kwa njia ya Email baruwa ya pepe Nitumie Email Address yangu hii

fewgoodman@hotmail.com

Au ni add kwenye What's App yako au Viber kwa hii namba yangu +905344508169
 
Back
Top Bottom