Nani jasiri kati ya mwanamke na mwanaume?

super mimi

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
223
171
heshima kwenu wakuu..
tukijikita katika nyanja ya mahusiano ...tujuzane kati ya mwanamke na mwanaume nani jasiri wakuu... NAWASILISHA
 
Ujasiri unapimwa pale mtu anavyoweza kuyakabili,kushinda na kuvumilia mambo hatari, magumu na yenye kukatisha tamaa. Sasa ndugu yangu MAPENZI si kitu laini laini kabisa ujasiri unatokea wapi? Acha kuingiza ujasiri kwenye vitu vya kijinga
 
ok mkuu kumbe kitendo cha kutongoza tayar ni ujasiri........ahsante mkuu
sio kutongoza tu!
haya haya pia ni matukio ya kijasiri;


shabiki wa Yanga kumpetipeti wa Simba nao pia ni ujasiri
hdv.PNG


kuchezea kigodoro kwenye gari la matangazo, nao pia ni ujasiri
kgsd.PNG


kujikoboa miguu na kuisahau sura, nao pia ni ujasiri
kgf.PNG
 
Back
Top Bottom