Habari za wakati huu wanajf:
Naombeni uelewa ktk hili:-
Nimekua na mahusiano na msichana mmoja wa kichaga tangu November 2015 tukiwa first year UDOM. Nimekuwa 'nikifanya' nae mara kadhaa ila mimi sijawahi kutumia salama. Juzi kati nikaomba nifanye nae akakubali na nilimuuliza unaeleewa uko katika wakati gani kwa sasa? Akadai yuko free na kwa hivyo hakuna shida.
Tukafanya hivo ila baada ya siku mbili mbele akasema anaumwa tumbo, nikamuuliza unaumwa kiaje? Akanijibu nahisi ni mimba. Sasa naomba mnieleweshe katika free days mwanamke anaweza kushika mimba? Na kama ndyo dalili za mimba zinaonekana muda gani baada ya tendo???
Nawasilisha!