Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mkeo Anarudi Nyumbani kavimba vibaya usoni! Unamuuliza anakujibu kuwa kakutana na vibaka wamemvamia na kumpiga, lakini ukimcheki kwa makini unakuta kila kitu chake amerudi nacho na kiko salama...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Sikuku zote mwili wa binadamu ukizoeshwa jambo fulani hatimae nao huwa unajitengenezea utaratibu wa kulipa ulazima jambo hilo kuwa ni lazima lifanyike. Nitaanza kwa huu mfano:-Kama umezoea kwa...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Mazingira ya kama ya Dar ni magumu sana. Mtu anaishi mbezi anafanya kazi posta anaamka saa 11 anafika ofisini saa 2 chai anakunywa ofisini chai andazi2 mchana ugali au wali samaki tena samaki...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Kupumzika Kunasaidia Kukabili Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Wanaume hufanya kazi zaidi na kutembea umbali mrefu zaidi ukilinganisha na wanawake, hivyo hutumia nguvu nyingi kufanya mambo haya, hali...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Tembea uone katika pitapita zangu huko duniani nimekutana na choo hiki, msema ukweli mpenz wa Mungu, sijawahi kuona choo cha namna hii ni mara yangu ya kwanza. Yaani choo kina kibomba kwa nyuma...
7 Reactions
85 Replies
13K Views
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za hizi saizi wanajamvi, Naombeni ushauri, Kuna jambo fulani nashindwa kulielewa kwa mke wangu, mke wangu ana mambo ya kujigumua. Mfano mmepangilia kwenda sehemu naye (out) ukafanya any...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna mwanamke nilijuana nae na tukawa wapenz.... Kwa maisha yangu ya sasa muda wa kumjali na kumuangalia yeye kwa matumizi na pesa za kumpa Mala kwa mala..nilijua sito weza.... Kwakua yeye yupo...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu? Leo nimekutana na kimbwanga kama sio kisanga, juzikati kuna manzi mpya nilimpata, ni mtoto mkali sana basi tulianza relationship yetu vizuri tu nikampa viouting vya hapa na...
17 Reactions
183 Replies
12K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mke awe mkristo pia aliye na shughuli yoyote hata mfanya biashara halali umri kuanzia miaka 23 kuendelea mpaka 28...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
"Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume kitabia ni mpole he's caring like too much, nimewahi kumkosea lakini hajawahi kuonesha kisirani/kinyongo. Ndo kwanza kazidisha mapenzi kila muda huyu hapa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habr kinavyojieleza hapo juu, je n sawa au sio sawa??
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari zenu waungwana, poleni na mihangaiko ya hapa na pale, Ewe mwanaume thamini upendo unaoonyeshwa na mpendwa wako ipo siku utautafuta huo upendo utaukosa kila kona utakayokuwa unazunguka...
15 Reactions
95 Replies
11K Views
Siku hizi, kuna ugumu wakati mwingine, kujua kama mtu ni mwanamke au ni mwanaume. Vijana na hata watu wazima wengi wanaume hujipamba sana kwa kutumia vipodozi, ambavyo kwa kawaida, vimekuwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hi guys, Rafiki yangu anafikiri siwezi kuwa na yeye tuu. Hasa ninapofanya vizuri kwenye 6*6 amenifanya nikapime. Ana truck muda wangu. Huwa anasaema 'Oh my God..such a beatifull girl like you...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Nimejaribu kufanya utafiti usio rasmi ,ila nimekuja kugundua wanawake huwa wanatuweka sana moyoni na ndomana huwa wanatupenda kwa dhati na wakati mwingine ,hujitoa muhanga kwetu kw hali na mali ...
7 Reactions
55 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakubwa Nimekaa na hii long weekend naboreka ebu niwashirikishe kuhusu huyu mwanaume Natamani sana nije niwe na mwanaume flan mkimya, akisema no anamanisha, mwenye msimamo anayependa...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Happy Sunday kwenu wote Kuna shemela bwana alifanya statistics yake ya kibishi sijui alitumia muda wa kutosha au wa kulipua? kiru me hata sijui Sasa ulipofika mwezi march, akaniambia hivi...
3 Reactions
66 Replies
8K Views
  • Closed
Habari zenu wapendwa? Nianze hivi! Miezi 5 iliyopita nilikutana na binti mmoja hivi na nikafanikiwa kutengeneza mahusiano naye. Lengo kubwa lilikuwa kufunga naye ndoa kwa kuwa nilimpenda sana...
9 Reactions
148 Replies
13K Views
Habari za mida wana jamvi. Juzi nlileta Uzi humu kuhusu wife tarajali. Toka muheza tanga nashukuru Kwa ushari wenu. Jambo linalonipa shida sasa ni pale kila nkiwasiliana nae ananambia nijiandae...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…